Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Wakuu, Hivi kabla ya uteuzi wa ndugu Mhando hakukuwa na vetting? Inawezekanaje haya hayakubainika mapema? Na baadae 2011 ikawa hivi:
71 Reactions
167 Replies
15K Views
  • Redirect
Zitto Kabwe na Peter Msigwa kuongoza harakati. Wamo pia Mawaziri na Wabunge wa CCM.
0 Reactions
Replies
Views
CHAMA cha ACT-Wazalendo Wilaya ya Shinyanga Mjini kimetamba kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, ndicho kitakuwa mpinzani mkubwa wa CCM badala ya Chadema. Katibu wa ACT-Wazalendo, Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
BREAKING NEWS UPDATE: HOJA ZA KENYA ZA KUPINGA TATHMINI (DUE DILIGENCE) YA UGANDA KUHUSU LAMU Jumatatu, 13.04.16, 16:30 hrs Uganda and Kenya have, "Agreed to Disagree." Kikao cha marudio...
8 Reactions
50 Replies
9K Views
  • Redirect
Wabunge wa upinzani na kumuhujumu magufuli linawezekana hili. Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini ACT Wazalendo,Peter Msigwa mbunge wa Iringa Mjini CHADEMA, Mbunge wa Mwibala Kangi Lugola na...
1 Reactions
Replies
Views
Marehemu Christina Lissu anaaagwa leo katika ukumbi wa Karimjee. Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum toka Singida, Christina Mughwai Lissu(CHADEMA) limefariki dunia kwa ugonjwa wa kansa. Alifia...
3 Reactions
42 Replies
13K Views
Nasikia zimeshakabidhiwa kwa JPM ikulu. Hatuwezi kuendelea kuacha wanafunzi wakae chini wakati pesa ilikuwa inachezewa hovyo. Rais Magufuli ameipongeza ofisi ya Bunge kwa kubana matumizi na...
4 Reactions
177 Replies
23K Views
Habari wana JF, Katika wiki mbili zilizopita kumekuwepo na mijadala mingi kuhusiana na suala la wafanyakazi hewa.Ukweli no kwamba suala hilo limekuwepo miaka nenda rudi lakini hakuna aliyethubutu...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Redirect
Wabunge wengi walipiga kelele kuhusu serikali kusitisha kuonyesha live vikao vya bunge, lakini mimi najiuliza ni kweli kelele zote zilikua na nia njema? Serikali ilitoa sababu ya kubana matumizi...
0 Reactions
Replies
Views
VIGOGO wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameingizwa ndani ya kashfa ya kutumia madaraka na ofisi za chama hicho vibaya. RAI lina taarifa kamili. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF! Ninapenda kumuonya kijana alikuwa anakuja vema kwa siasa zenye mashiko lakini nimegundua anaishiwa pumzi kwa kasi kuliko Kingunge. Amekumbwa na ugonjwa unaoitwa "mfumo"..yaani...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Why Trump’s Complaints about ‘Stolen’ Delegates Don’t Hold Water Most people, even those who follow politics closely, don’t pay much attention to how convention delegates are selected. And in...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wamiliki wa mgodi wa TanzaniteOne mkoani Manyara, wamebainika kufukia watu watatu; watumishi wa mgodi huo. Watu hao walifukiwa kwa kile kinachoelezwa kwamba walishukiwa kuwa ni wavamizi walioingia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Lugumi atoroka nchi *Adaiwa kupanda ndege usiku wa manane, haijulinani alikokwenda *Ni yule anayetajwa kwenye mkataba tata uliohusisha vigogo wa Serikali, Jeshi la Polisi MFANYABIASHARA...
0 Reactions
Replies
Views
Salaam, Nimeona ni vema leo nimshauri ndugu Mbowe akabidhi chama haraka kwa Ndg.Lowassa (uenyekiti) mapema kwasababu zifuatazo; 1.Ni msomi,shahada ya kwanza sanaa za maigizo (UDSM) na shahada ya...
2 Reactions
100 Replies
7K Views
  • Redirect
Serikali ya Marekani imeihakikishia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuendeleza uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili ikiwa ni pamoja na kutoa ufadhili na misaada mbalimbali ya...
1 Reactions
Replies
Views
Nakumbuka miaka ya 1980's nilipokuwa shuleni, mwalimu wetu wa siasa/uraia (sijui kama bado lipo) alitufundisha maana fupi ya Demokrasia kama "serikali ya watu" ukidadavua utakuta Kumbe: "Ni mfumo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna baadhi yetu tumekuwa na wasiwasi sana na huu uwekezaji wa fedha za wanachama wa mifumo ya hifadhi ya jamii mkubwa kati yao ukiwa ni wa NSSF. NSSF siyo mfuko pekee lakini ndio mfuko ambao...
11 Reactions
74 Replies
10K Views
  • Redirect
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) inayohusu miradi inayosimamiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), imepelekwa kwa Rais Dk. John Magufuli kwa ajili ya kuipitia...
0 Reactions
Replies
Views
Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akimaliza kuweka saini katika kitabu cha Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya Ibada...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom