unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,047
BREAKING NEWS
UPDATE: HOJA ZA KENYA ZA KUPINGA TATHMINI (DUE DILIGENCE) YA UGANDA KUHUSU LAMU
Jumatatu, 13.04.16, 16:30 hrs
Uganda and Kenya have, "Agreed to Disagree."
Kikao cha marudio kati ya Wataalamu wa Kenya na Uganda kimemalizika sasa hivi bila muafaka na bila kubadili uamuzi wa Uganda wa kuchagua Route ya Hoima (Uganda) - Tanga Port (Tanzania) kwa ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi yake. Uganda imechagua na imesema, "Bomba litumie Bandari ya Tanga."