Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Habari wana JF!
Ninapenda kumuonya kijana alikuwa anakuja vema kwa siasa zenye mashiko lakini nimegundua anaishiwa pumzi kwa kasi kuliko Kingunge.
Amekumbwa na ugonjwa unaoitwa "mfumo"..yaani kwake yeye anamaanisha Raisi kwa sasa asichukuwe hatua yoyote dhidi ya ubadhirifu wala watendaji wazembe...ni upuuzi wa daraja la kwanza!
"Mfumo" nini?..kama ni katiba haiwezi kuja kulala na kuamka!...kama ni "sheria" haziwezi kutungwa mara moja.tokea bunge lizinduliwe kwa mujibu wa katiba kumekuwa na mikutano miwili Novemba,2015 ambacho ajenda ilikuwa ni kuapishwa wabunge,waziri mkuu na Raisi kuzindua bunge.Kikao cha pili ilikuwa Januari,2016 ajenda ni kujadili hotuba ya Raisi na kujadili mpango wa serikali...hakukuwa na ni kwa mujibu wa Katiba.
Mtatiro napenda wewe na wafuasi wako mjue kuwa idadi ya vikao vya bunge vipo kikatiba kinachohitajika sasa ni kuandaa utaratibu maalum utakaoridhiwa na wabunge walio wengi na sio wabunge wa "FB"..hiyo ndio demokrasia.
Kwa siku za karibuni umejishushia heshima,hukusimamia misingi uliyoamini kisa ubunge ambao ulikosa..uldhihaki Prof.Lipumba mitandaoni kwamba "kachukuwa hela" baada ya kuachana na uchumia tumbo wenu na kuachia usukani,hukumuheshimu mtu aliyekufunza siasa za kweli sababu ya "tumbo"...sasa una "stress".
Kwa uelewa wako usipende kuandika mada asubuhi,mchana,jioni zisizo na msingi..hayo ni mambo ya vijana wasio na weledi.Kwani kwa sasa wale washabiki wako zaidi ya 90 asilimia wanakukejeli na walio na busara wamekaa hatuchangii,ila jirekebishe.
Ni