Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Salaam,
Nimeona ni vema leo nimshauri ndugu Mbowe akabidhi chama haraka kwa Ndg.Lowassa (uenyekiti) mapema kwasababu zifuatazo;
1.Ni msomi,shahada ya kwanza sanaa za maigizo (UDSM) na shahada ya 2, maendeleo (Bath,Uk).
2.Ana uzoefu mkubwa wa uongozi,aliwahi kuwa waziri mkuu wa JMT.
3.Ana ushawishi mkubwa sana,kwakweli ameshawishi wanachama wengi wa CHADEMA kumsafisha na kumuondolea hatia ya ufisadi waliomuimba na hata kuumba mashairi ya kumtakasa kwa mitandaoni hongera ziende kwa Yeriko,Ben,Malisa,Mtatiro,Molemo,Makene,Mmawia nk kwa kweli mlitubu dhambi zenu barabara na mkatumika.
3.Kwa sasa ameweza kubadili ajenda na wote kama chama ajenda ya Lowassa imekubalika.
4.Ana ofisi nzuri pale Mikocheni ambapo kwa sasa maamuzi mazito yanafanyika na ndipo jina la katibu mkuu Mashinji lilipoidhinishwa kabla ya kupigiwa kura ya wazi Mwanza.
5.Amekufundisha kutoa matamko kanisani, kumbuka ulivyolalamikia utumbuaji Moshi,KKKT.
7.Ni mshindi wa tunzo ya "amani",alitunukiwa na "wachungaji na manabii" zaidi ya 200" waliokutanika Kongo.
8.Ameleta aina mpya ya siasa CHADEMA ya unabii unabii,ramli ramli,uchawi uchawi hii aliikopa kwa "Mshenga" kwa sasa vijana wanaitumia kama namna ya kupunguza uchungu.
9.Wewe umeungana na sera za Magufuli,pale uliponukuliwa ukisema "Magufuli ni mwenzetu"angali Lowassa amepinga yote kwake ni bora kuvaa fulana,pilau na maadhimisho kuliko barabara na madawati kwani anasema "Magufuli anahamisha fedha bila ruhusa" na kwa hili bavicha wamemuunga mkono EL wakisema huo ni udikteta,hivyo ni ishara vijana hawakutaki.
10.Amekuja na watu mamilioni hili hata wewe ulikiri siku una mpokea,mwachie uenyekiti ili aunde safu yake kama alivyoanza na Katibu mkuu.
Karibuni kwa hoja na sio viroja.