Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

By BENJAMIN MURIUKI on Fri, 25 Mar 2016 - 10:35 am @BenjaMuriuki ben@kenyans.co.ke DIPLOMATIC FIGHT Kenyan delegation led by Energy CS Charles Keter stranded Kenyan officials FACEBOOK Share...
3 Reactions
48 Replies
7K Views
PIGA picha. Vuta hisia na kumbukumbu. Unakumbuka nini katika wakati kama huu, miaka 10 iliyopita? Mimi nakumbuka machache, yaliyotangulia na yaliyofuata baadaye. Nyakati zinashindana na kupingana...
25 Reactions
102 Replies
11K Views
ASKOFU wa Kanisa la Anglikani nchini (KAT), Dayosisi ya Mount Kilimanjaro (DMK), Askofu Stanley Hotay, amesema kanisa halina majipu ya kutumbuliwa kwa kuwa linatoa huduma zinazoisaidia Serikali...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
  • Redirect
Katika jamii ya waamini Ulimwengu wa Kikristo, Kesho nisiku Muhimu ya Kuazimisha Ufufuo wa Yesu Kristo. Tunatarajia Kupata au kusikia matamko ya Viongozi wetu wa imani kutoka kwenye madhabahu...
0 Reactions
Replies
Views
Hivi hawa jamaa mbona wezi sana hebu checki hapa. Kila jirani analalamika The Olemi Triangle is an area of disputed land in East Africa. Arbitrarily defined, it measures between 10,320 and 14,000...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
RAIS John Magufuli anatajwa kuwa ni rais mchochezi na anayefanya mambo yake ili kuonesha anaendesha mapambano dhidi ya wapinzani wake, ------ Dk. Azaveli Lwaitama, Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu...
11 Reactions
124 Replies
16K Views
Bila shaka mambo mawili ambayo yalikuwa yanatumiwa na wanaojiita UKAWA ijapokuwa ulishavunjika siku nyingi yamefikia ukingoni. Uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam umefanyika ambapo ISAYA MWITA wa...
9 Reactions
103 Replies
7K Views
Baada ya kusoma thread ya mwana-jf mmoja aliyotoa kuhusu mambo yasiyo sawa ndani ya Mradi wa taifa wa TB Na ukoma (NTLP), napendekeza serikali iangalie uwezekano wa kuwa Na utaratibu Na mfumo wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
UKAWA huwa wanaombea sana bunge liwe through out the year maana ni sehemu pekee ambayo wanaweza fanya ujinga wao na kuuza magazeti. Yaani bila kutoka nje ya bunge kupinga hoja za ccm hata kama ni...
10 Reactions
72 Replies
5K Views
Huu ni ushauri mujarabu kabisa ambao Lowasa anampa Maalim Seif Sharif Hamad. Kukaa kimya ni uungwana. Hakuna atakakoenda ambako kutabadilisha matokeo ya uchaguzi wa Rais wa Zanzibar. Dr Shein ndo Rais
3 Reactions
48 Replies
7K Views
Ofisa mdhamini wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Ali Mohammed Dadi amesema mshindi wa uwakilishi katika Jimbo la Ziwani ni Suleiman Ali wa CCM na si Asaa Hamad wa UPDP aliyetangazwa awali...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Source: EA Radio Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge...
0 Reactions
303 Replies
36K Views
JOTO la kisiasa visiwani Zanzibar halijapoa na sasa Chama cha Wananchi (CUF) kinakuja na tamko zito hivi karibuni, anaandika Michael Sarungi Chama hicho kinaeleza kuwa, maisha ya dhiki, wasiwasi...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mathew Mtigumwe ameagiza mamlaka zinazohusika kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria watu watakaobainika kutafuna fedha za mishahara hewa kabla ya mwezi huu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema uamuzi wa kutoshiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar hauwezi kukipoteza katika ramani ya siasa nchini. Badala yake, kimesema umekiongezea heshima kwa maelezo kuwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
NAAPA, naahidi mbele ya chama mapindizi ni cha kulinda mpaka kufa Wana JF mnakikumbuka hiki kiitikio wakati wa mchakamchaka miaka ya 90 shule za msingi? CCM IKO JUU,IMETUFIKISHA HAPA BAADA YA...
0 Reactions
24 Replies
11K Views
  • Closed
Niliwaambia Manji anaitumia Yanga kisiasa ili aje agombee nafasi moja kubwa hapo baadaye. Wengi wananibishia. Manji atakagombea Udiwani, atashinda. then atakuja kugombea UMEYA WA JIJI LA DAR...
4 Reactions
79 Replies
15K Views
Mimi ni mmoja wa watu wanaoamini uwezo wa kiuongozi alionao lowassa tokea zamani sana pamoja na kukataliwa na Baba wa Taifa. Uwezo wa Edward Ngoyai Lowassa katika uongozi wan chi hii uko dhahiri...
7 Reactions
62 Replies
9K Views
  • Redirect
Nasema huu ni Ujinga haiwezekani ni lazima alipe hiyo gharama ikiwezekana mabasi yake yote yauzwe ili Kituo kijengwe upya! Hivi vituo vimejengwa kwa fedha za mkopo ambazo Watanzania wote...
0 Reactions
Replies
Views
Serikali imewasimamisha kazi maafisa watatu wa Jeshi la Kikosi cha Zimamoto kwa tuhuma za kushiriki wizi wa mafuta ya ndege na mmoja kati yao kuiba mizigo ya wateja kwa kushirikiana na wafanyakazi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom