Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

NI UPUUZI KUSHANGAA NYUMBA NA MAGARI YA WABUNGE Nguzo Noel .R. Nianze kwa kumnukuu Mbunge wa kawe Halima Mdee (tar 3/4/2016 jumapili) katika viwanja vya sokoni mkoani Lindi"Sisi wabunge mshahara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, Binafsi naridhishwa na hatua zinazochuliwa na JPM binafsi pamoja na serikali kushughulikia tatizo la watumishi hewa. Hawa wamekuwa chanzo cha watanzania wenye sifa kukosa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HUYU ALIKUA MTUMISHI HEWA? Nguzo Noel .R. Mbatia anadai ckwa miaka 10 aliyoajiriwa magogoni siku 2,045 alikua "nje ya ofisi" Alisafari Mara 409 akitumia wastani wa siku nne KWA kila safari...
7 Reactions
22 Replies
5K Views
  • Closed
Mbunge wa Rorya ambaye alikuwa team Lowassa ndani ya CCM Lameck Airo anadai nguvu Ya Soda inayotingisha. Nchi sasa hivi ni ya muda mfupi, kwani ni gesi tu. Anadai Magufuli anakivuruga chama...
0 Reactions
205 Replies
38K Views
Aliyekuwa Mweyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mwanza, Adrian Tizeba ametangaza kujivua uanchama na kuachana na siasa. Tizeba aliyesimamishwa uongozi na Baraza la...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wana CCM wasingemdanganya Mh Magufuli juu ya Zanzibar angekuwa bonge la rais barani Afrika. kila atachoko fanya Mh Magufuli,wenye kupenda haki,wakishakumbuka kilichotokea Zanzibar watu wanaondoa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Redirect
Ndugu zangu nimeamua kuandiaka makala yangu haya leo kutokana na matamshi ya Lowassa, ya hivi karibuni mbele ya wageni wake waliomtembelea nyumbani kwakwe Masaki, Jijini D are Es Salaam...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo ni kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo cha waziri mkuu enzi ya Serikali ya Mwalimu. J.K. Nyerere, ndugu Edward Moringe Sokoine. Zaidi ya habari hizi kuandikwa kwenye baadhi ya magazeti hakuna...
11 Reactions
Replies
Views
Ndugu wanajamvi..kumekuwa na mjadala kama Mh Rais anafanya sawa kureallocate funds kutoka eneo moja kwenda jingine. Watu bila kutathimini kwa kina, wameishia kusema kuwa anaharibu mipango ya Bunge...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Malalamiko yangu ni kwamba hii kasi bado ni ndogo. Kwa hali ambayo hii nchi ilipokuwa imefikia wengi wetu tulitamani hata nchi iendeshwe kijeshi kwa muda hata wa mwaka mmoja. Wengine walitamani...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni.Mkoa wa Mara kwa mujibu wa ofisi ya waziri mkuu inayoshughulikia walemavu unaongoza nchini kwa kuwa na walemavu wengi .Na walemavu hao wengi ni wale...
0 Reactions
7 Replies
999 Views
  • Redirect
Mheshimiwa Rais ni imani yangu hujambo na unaendelea vizuri na majukumu yako barabara ya kuileta nchi kwenye mstari, ambapo lengo likiwa kila mtanzania anufaike kiuchumi kulingana na raslimali...
1 Reactions
Replies
Views
Mfa maji haachi kutapatapa Mfa maji gani wewe ... boga hujui hata anaongea nn. Mwenzio anachia akale 230m zake vizuri ww utabaki kubwabwaja
2 Reactions
13 Replies
2K Views
You will stifle creativity & innovations in governance. So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of...
12 Reactions
154 Replies
13K Views
Helow hayati sokoine. Mimi ni mjukuu wako Presida to be aka Makonyu Jr tukiwa tunakumbuka miaka 30 toka uende mbiguni nataka nikwambie mwaka Jana tulifanya uchaguzi mkuu wagombea wakuu walikuwa...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Halmashauri zinazoongozwa na vyama vya upinzani nchini vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) zinakusudia kujiondoa kuwa wanachama wa Jumuiya ya Halmashauri nchini (ALAT), endapo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (Nida) imesema itaanza kufanya malipo ya madai ya wafanyakazi wake 597 waliokatishwa mkataba na mamlaka hiyo hivi karibuni. Taarifa iliyotolewa jana na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilishangazwa Na taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Bw.Zerotte Stephen kuwa RAS wa mkoa huo kamsomea taarifa ya mkoa kuwa mkoa wa Rukwa hauna wafanyakazi hewa.Mkuu wa mkoa akaikataa taarifa hiyo Na...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (Nida) imesema itaanza kufanya malipo ya madai ya wafanyakazi wake 597 waliokatishwa mkataba na mamlaka hiyo hivi karibuni. Taarifa iliyotolewa jana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1) Kupunguza uanaharakati kujipanga kuongoza 2) Uongozi ngazi za vijiji wapewa meno kuamua 3) Makao makuu wabaki na sera na mbinu mpya kupata viongozi 4) Halmashauri zao kuwa mfano wa kuigwa 5)...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Back
Top Bottom