Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Hivi kweli inaingia akilini kuona jumla ya wanafunzi 24,528 wakikosa nafasi za kujiunga na kidato cha tano mwaka huu kutokana na ufinyu wa nafasi huku wanaoitwa wawakilishi wa wananchi(watetezi wa...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
July 2015-feb 2016 Mh waziri Hii ni kashfa kwa wizara yaki sidhani unaitaji kuendelea kuchafuliwa kwa hilo else watanzania tutaiogopa wizara ya mawasiliano kama BoT walivyoishinisha wahuni wa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wahusika wa tamisemi, Naomba kasome barua aliyoandika afisa elimu wilaya ya Igunga kuwambia walimu wajisalimishe wenye vyeti feki. Cha ajabu ukiendelea utaona anahimiza wawahi wenyewe sababu wapo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji mstaafu Francis Mutungi amewataka wanasiasa kutoitafisri vibaya hotuba ya Rais kwamba amepiga marufuku shuguli za kisiasa na badala yake watambue kuwa...
6 Reactions
118 Replies
15K Views
Katika kipindi cha chini ya miezi miwili mheshimiwa Rais ameshuhudia kwa macho yake jinsi wateule wake wanavyomchonganisha ama na wananchi ama na viongozi wa vyama vya upinzani katika ngazi za...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Katika hali ya kushangaza Shule ya Sekondari Kishoju iliyoko Muleba Mjini mchana imefukuza wanafunzi wote wa kidato cha 5. Wamepewa muda usiozidi dakika 30 kupotea shuleni. Wasichana nao wako...
2 Reactions
36 Replies
9K Views
Kwa mwonekano wa nje hii mahakama inaonekana kama kitanzi kwa mafisadi papa, kinyume chake kitakuwa kilio kwa watu wanyonge wasio na hatia, wasio na majina, wasio na uwezo wa kuhonga majaji...
9 Reactions
62 Replies
5K Views
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA ALIVYODHALILISHWA NA SERIKALI YA MAGUFULI Makamanda pipozzzzz! Jana nilipokea mwaliko wa maneno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya kupitia kwa Mkurugenzi wangu Manispaa...
26 Reactions
433 Replies
53K Views
Naomba kuuliza hivi tamko au agizo la mdomo la Rais unaweza kulitumia mahakamani kama ushahidi au utetezi iwapo utekelezaji wa agizo hilo utakupelekea kufikishwa mahakamani kwasababu moja au...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii si mara ya kwanza kwa wabunge wa CCM kubakia bungeni wakati wabunge wa vyama vingine wanapotoka nje ya ukumbi vinapofanyika vikao vya bunge kupinga jambo fulani. Kubaki kwao na kuendelea na...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
TAKUKURU fanyieni kazi habari hizi. Kuna fununu ya kuwepo kwa harufu ya JIPU ndani ya Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika Manispaa ya Kinondoni. Jipu lenyewe linalodhaniwa linahusisha zoezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Rais aliyepatikana kwa njia za kidemokrasia anapiga marufuku mikutano ya kisisa , amabayo ndio iliyomuungiza madarakani ! Anataka kutuaminisha kuwa 1. Aliingia madarakani kwa njia zisizo za...
0 Reactions
Replies
Views
Ukiichaga UKAWA ni kama kulala mlango wazi. Tunamkumbuka sana Mnyika na usemi wake bungeni ati Kikwete ni dhaifu. Na walikuwa UKAWA wakisema udhaifu wa Kikwete ndo udhaifu wa serikali. Sasa...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
JUMLA ya wanafunzi 90,248 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi mwaka 2016 ambapo kati yao wasichana ni 28,911 na wavulana 36,050. Hata hivyo, jumla ya wanafunzi 24,258 sawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezimungu muumba wa vyote,pia niwape hongera wanajukwaa kwa michango mbalimbali ya kuelimisha,kufikirisha ingawaje wengine hukereka kwa baadhi ya maoni ya watu bali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Redirect
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi ametetea kauli ya Rais John Magufuli kuhusu kufanya siasa wakati huu na kwamba alichotaka kiongozi huyo wa nchi ni ushirikiano kutoka kwa...
0 Reactions
Replies
Views
Mafunzo yenu ndio msaada wenu,ndio kinga yenu na ndio mafanikio yenu.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Redirect
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jana lilipitisha kwa kauli moja Sheria ya Marekebisho Mbalimnbali, ambayo pamoja na mambo mengine, yamempa Jaji Mkuu mamlaka ya kuanzisha Divisheni ya...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mkuu,naona umeamua kujilipua ila nachojiuliza mwenzetu umejipangaje?Hiyo barua mbali kuwa na muhuri wa siri, bado inaoneka kuwagusa wenyewe sasa sijui kama watakuvumilia. Hata hivyo,nasema...
1 Reactions
Replies
Views
Zipo aina kuu nne za watu ambazo zimegawanyika kutokana na tabia walizo nazo. Tabia hizo ni kutawala (Choleric – Dominance), mhamasishaji (Sanguine - infuluencing), asiyeyumbishwa (Phlegmatic...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom