Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

1.Serikali bado mpya(tunaendelea kujipanga zaidi) 2.Baadhi ya vyanzo ni vipya hivyo hatukuwa na uzoefu navyo katika swala zima la ukusanyaji wa mapato 3.Baadhi ya nchi wahisani wameshindwa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimeona Jamaa mmoja amepost kipande cha wimbo huu kwenye Account yake ya Facebook. nami nikamwelewa haraka sana. Huu wimbo ni wa Siasa ingawa ilikuwa miaka hiyo wakati watu weusi wakinyanyaswa na...
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Ndugu zanguni ingekuwa inawezekana Bunge letu tukufu lingevunjwa au likafutwa kwa muda likaipisha serikali ya Mhe Rais Magufuli ikafanya kazi inayokusudia. Nasema hivyo kwa sababu naona uwepo...
1 Reactions
4 Replies
763 Views
Leo hii tena wametoka huku kukiwa na sauti inayosikika ikiimba: "kwaheri mwalimu kwaheri tutaonana kesho......."Bila shaka hii illikuwa ni sauti kutoka kwa wale wa upande wa pili. The saga continues!
5 Reactions
68 Replies
8K Views
  • Redirect
Zitto Zuberi Kabwe anaendesha siasa kama za Julius Malema, lakini siasa zake si kwa Watanzania wanaogeuka kama kivuli wanakuacha mwenyewe.
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
...kwa hali inavyojionesha hapa nchini ni wazi kuwa hali ya siasa nchini na hasa siasa za majukwaani inaelekea pabaya na hii siyo kwa UKAWA tu,bali hata kwa CCM. Inavyoonekana JPM ana nia njema...
0 Reactions
Replies
Views
Aliyekuwa Mbunge wa Bariadi Mashariki na ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha UDP, John Cheyo amesema anamkaribisha Aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA/CHADEMA Edward Lowassa na wanachama wa chama...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Zitto anajaribu kuzichanga sana. Lakini wale wenye jicho la tatu tumeona. Kwa kuwa UKAWA wapo na namna yao ya vipi wafanye siasa. Zitto anajifanya yupo pamoja nao na huku akijitahidi sana kupaza...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Juzi nilipita Uturuki nikidhania paspoti yangu ya Tanzania itaniruhusu kuingia bila visa, au kwa kupata visa uwanjani. Itakumbukwa kuwa rais wa awamu ya nne, JK, alikubaliana na mwenziwe Ordogan...
5 Reactions
4 Replies
4K Views
Ukiangalia kwa makini mwenendo wa wabunge wa upinzani (UKAWA) ndani ya bunge utagundua hawana viongozi makini! Mnajua kabisa hamna "threshold" ya kumng'oa Naibu Spika lakini mnakuja na strategy za...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
  • Redirect
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kukataza mikutano ya kisiasa kwa kuwa ni hitaji la kikatiba,na sheria. Rais hana mamla hayo, Waziri hana mamla hayo. Kwanza kutamka tu katazo kama hilo ni ukiukwaji...
0 Reactions
Replies
Views
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema bunge lipo na mchakato wa kubadilisha sheria, sera na kanuni ili kuendana na mabadiliko ya wakati sasa ambayo viongozi wakubwa wa nchi wamekuwa wakiiba na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Niliahidi kwamba nitatoa ufafanuzi juu ya msimamo wangu kwa sasa hususani kwa nini ninamuunga mkono Rais John Pombe Magufuli. Kwanza ninaona nvyema nianze na mfano mmoja unaomhusu mwarabu mhalifu...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
  • Redirect
Leo uingereza imepiga kura kuondoka EU, je hii ina maana ndo mwisho wa EU. Au mwisho wa trade unions nyingi duniani? Je na sisi ndo mwanzo wa kuangalia nafasi yetu kwenye Miungano ya kibiashara...
0 Reactions
Replies
Views
Rais Magufuli leo amempongeza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salum Jecha kwa kusimamia vizuri Uchaguzi ulioisha kwa amani. Kwa kufanikisha Uchaguzi wa Zanzibar, unamkubali Jecha...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
The Permanent Secretary of Tanzania's Ministry of Agriculture and Food Security, Honorable Florens Turuka has vouched for the country's readiness to transact business on GM crops. Speaking at the...
1 Reactions
0 Replies
758 Views
  • Redirect
Taarifa za kuuminika zinaonesha watumishi wa serikali waliopanda vyeo/madaraja mwezi aprili na mei wamekatwa nyongeza za mishahara kutoka kwenye mshahara wa juni. Mpaka muda huu TUCTA wamekaa...
0 Reactions
Replies
Views
Wakati wa utawala wa mkapa alijiwekea utaratibu wa kukutana na wafanyabiashara mara moja kwa mwezi kwa lengo la kubadilishana mawazo na kushauriana. Napendekeza na kwa utawala huu kiongozi wetu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
MAMBO yanazidi kwenda mrama kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), anaandika Dani Tibason. Msimamo uliotolewa na Baraza la Vijana wa Chama cha...
8 Reactions
147 Replies
15K Views
Katika katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sehemu ya Tatu kifungu cha 24 (i) na (ii), katiba inaelezea haki ya kumiliki mali na pia haki ya kulindwa kwa mali. kinasomeka hivi :- “ 24.(1)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom