Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA KWA MSTAHIKI MEYA BONIFACE JACOB Asalaam aleikum wananchi wa wilaya ya kinondoni na viunga vyake, niendelee kuwaombea ndugu zetu waislamu funga yao iwe na heri na baraka...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ameandika Ben-Rabiu Wa Saanane ------------------------------------------------------ Meya wa Kinondoni Boniphace Jacob anaonekana ni msomaji mzuri wa kitabu cha 48 Laws of Power cha Robert...
4 Reactions
Replies
Views
CHAMA cha Kutetea Haki za Walimu (CHAKAMWATA) kimemtaka Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi, kuwaomba radhi walimu nchini au kuifuta kauli yake aliyoitoa Juni 16, mwaka huu. Akiwa katika...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
  • Redirect
CLUELESS GOVT. Waziri anatangaza Muhimbili utaingia kwa elfu hamsini 10elfu ya kitanda, 10elfu medical consultancy, 30elfu msosi. Mkandarasi akaanza sijui walikuwa nae tayari maana tenda...
1 Reactions
Replies
Views
MEYA JACOB AMFUMBUA MACHO MAGUFULI??? TAARIFA KWA UMMA KUTOKA KWA MSTAHIKI MEYA BONIFACE JACOB Asalaam aleikum wananchi wa wilaya ya kinondoni na viunga vyake, niendelee kuwaombea ndugu zetu...
1 Reactions
3 Replies
690 Views
Andaa dodoso yenye maswali haya na kisha uipitishe vyuo vikuu uombe wanafunzi wakujazie.Majibu utakayopata yatakusaidi kujua ni kwanini tuko hapa tulipo kama Taifa. Maswali: 1.Taja jina la...
4 Reactions
98 Replies
11K Views
Anashangaa Meya na Mbunge wa Kinondoni kutokuwepo Biafra wakati ameshindwa kushangaa viongozi hao hao alivyowazuia kuzungumza na umma wao!? Nani amesahau Meya wa Jiji na Waitara walivyodharauliwa...
1 Reactions
1 Replies
680 Views
Kitendo cha waziri Ummy Mwalimu, kufuta utaratibu wa kuuza chakula kwa wagonjwa wanaolazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili ni sawa kabisa. Tena huo utaratibu wala usifikiriwe kuanza. Ni uhuni tu ule...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Serikali kuu na taasisi za umma zinatumia sehemu kubwa ya bajeti ya serikali ya JMT,Lakini kumekuwepo na mianya mingi ya wizi,uhujumu uchumi,ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ya kisiasa na...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Kwa sisi tuliokulia mazingira ya karibu na hifadhi za wanyama tulikua tukifundwa na wazee wetu kua unapokua unachunga ng'ombe ukipita mahali porini ukamwona simba amelala, kama anakuangalia...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Redirect
Kumekuwa na kauli za kukinzana za Mh. Magufuli pale anapokuwa anahutubia wananchi kwa hotuba za Kichwani. Mfano: Nimejitoa Mhanga kutumbua majipu. Hatachomoka mtu. Baadae, Nitawalinda wastaafu...
11 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu heri ya swahumuu. Ni habari niliotonywaa usiniulize na nani kwamba Mh Rais anatumia mtandao wa Jamii forum kupata habari na maoni ya wananchi. Kuna baadhi ya vitu ambavyo huibuliwa humu JF...
0 Reactions
Replies
Views
Habari Wakuu Leo katika ufunguzi wa Call Center , pale viwanja vya Biafra , tuliona jamaa mmoja mwenye asili ya kiarabu akipewa cheti cha appreciation kama Mkurugenzi wa Kampuni ya Superdoll...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Maajabu hayamuishi rais wetu Magufuli. Niliipoona mswada wa mahakama ya mafisadi unapelekwa bungeni nikajua kinachofuata ni kubadili kipengere cha katiba kuwaondolea kinga marais wastaafu ili...
16 Reactions
65 Replies
6K Views
  • Redirect
Unaweza kupiga marufuku shughuli za kampeni mpaka 2020, lakini huwezi piga marufuku shughuli za kisiasa! kwa sababu siasa ni mfumo wa maisha.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
16 MARCH 2016 UZINDUZI WA UMEME WA GESI-KINYEREZI II Mkurugenzi mkuu wa Tanesco alianza kutambulisha watu walio ktk jukwaa kuu akataja karibu wote pamoja na mbunge wa CCM Segerea Bona Kalua...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mh. amekuulizia mbona hakukuona kwenye shughuli nyeti kama hiyo? Naomba umjibu maana amesema unapenda ujambazi. Jitakase lakini kwa heshima na taadhima.
0 Reactions
Replies
Views
Na: Jafary Ndege: Mratibu Chaso Mkoa~Morogoro [emoji117]Leo nimebahatika kwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa Mkoa Polisi Morogoro baada ya kutuita Viongozi wa CHADEMA Mkoa na Wilaya kuzungumzia...
7 Reactions
117 Replies
10K Views
Tumesikitishwa na Kauli ya mkuu wa kaya ilofanya tushindwe kutekeleza majukum yetu ya kisia kama inavyo sema katiba ya JMT. Wanachi wa mtwara walisubiki kushudia wahitim wa CHASO MTWARA wakipokea...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom