Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hao ni wenzenu hao wa kitengo cha utekaji dereva wa kawaida hawezi kujiwekea namba za kiusalama kienyeji tu, lakini hana ulazima wa kuwa na bastola toy yeye ya nini? Halafu dereva tu anaoata wapi...
11 Reactions
31 Replies
494 Views
Mhe. Heche amefanya mkutano wa hadhara leo meatu. Kesho atakuwa Bariadi mjini, wanachama na wadau mnaombwa kujitokeza kwa wingi ✌️
6 Reactions
8 Replies
179 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda, Mhe...
0 Reactions
2 Replies
71 Views
Kwanza kabisa Gesi zipo za aina mbili Methane ambayo inaitwa Liquified Natural gesi hii ndo ile inayosambazwa na bomba majumbani Propane na butane ambayo ni Liquified Petroleum gesi na hizi ndo...
6 Reactions
49 Replies
607 Views
Nadhani zimeshapita siku mbili sasa tokea Emmanuel Nchimbi [mimi simuiti makamu wa Rais kwa sababu hakuchaguliwa kushika hiyo nafasi] azungumzie mambo ya katiba mpya, uanaharakati, na mengineyo...
19 Reactions
35 Replies
557 Views
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗧𝗘𝗧𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗪𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗪𝗔 𝗧𝗨𝗡𝗜𝗦𝗜𝗔 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri wa Afya wa Tunisia Mustapha Farhan ambapo wamejadili kwa kina uwezo wa kuzalisha wa dawa ndani...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Sote tumeona namna shahidi Ramadhani Kingai alivokwepa kusimama kizimbani na kutoa msimamo wake katika ushahidi dhidi ya kesi inayomkabili Tundu Lissu. Hiki ni kipimo kwa mahakama yetu hapa...
2 Reactions
28 Replies
410 Views
BURIANI MASHUJAA WETU YANA MWISHO HAYA Bonyeza HAPA kupakua Hotuba yake Hapa Chini nimeweka Video ni Mapendekezo yake.. MAONI NA MAPENDEKEZO KWA UFUPI Baada ya kufanya uchambuzi hapo juu...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Redirect
Angalizo : JamiiForums huu uzi wangu usiunganishwe na uzi wowote, hiyo tabia inakera wateja wenu na maoni ya Wateja wenu yanasomeka kwamba wanavutiwa na uwasilishaji wangu wa updates. Nawasihi...
1 Reactions
– Replies
– Views
Zanzibar. Uamuzi wa ACT-Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) Zanzibar umefungua ukurasa mpya wa siasa za visiwani na kwa kiwango fulani umeibua maswali kuhusu namna hatua...
0 Reactions
1 Replies
96 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Jumla ya hawa wabunge 404 ni wahaini hata ndani ya mioyo yao na nafsi zao wanajua ya kuwa hawakuchaguliwa na wananchi Oct 29.2025
0 Reactions
4 Replies
125 Views
BAADA YA OCT 29, 2025 “TULIKOSEA”JE, TUNAWEZA PIA KUSEMA “TUWAJIBIKE” OKTOBA 29, 2025 2025 ni siku ambayo WaTanzania(Bara) inabidi kuungana katika kuyatafakari yaliyotokea kwa pamoja. Lakini...
1 Reactions
0 Replies
48 Views
  • Redirect
Nimeazisha uzi wangu baada ya Mods kuunganisha uzi wangu wa updates Mahakamani, mpaka nimeona kero na hasira kupost updates, uzi huu utakuwa unapata updates za majumuisho ya mwisho ya Mh Tundu...
4 Reactions
– Replies
– Views
Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions By Charles Makalala Thursday, October 09, 2025 - 5 min read It’s that time of year again. The day we mark the passing of...
11 Reactions
12 Replies
842 Views
Siku za karibuni kuna habari ambayo imekua ikitrend kwamba kuna mpango wa kuhamisha kata 10 za temeke ili kupanua wigo wa bandari kavu swali langu huu mpango unaendana na mradi wa mda mrefu wa...
2 Reactions
1 Replies
57 Views
Ukifuatilia Siasa za ndani za Nchi nyingi ambazo ni kubwa Kwa eneo na watu wachache zimekuwa na shida sana ya watu wake kukosa Ajira (High Unemployment) licha ya kwamba baadhi Yao au zote Zina...
3 Reactions
41 Replies
183 Views
  • Redirect
Mawakili wa Tundu Lissu tayari wapo mahakamani Katibu mkuu wa Chadema Mh. John Mnyika tayari amefika Mahakama kuu kwenye Kesi ya Mh. Tundu Lissu inayoendelea siku ya leo. Mabalozi wa nchi...
4 Reactions
– Replies
– Views
Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri. Dada wa Msuya akauliwa, J4 Akaua mfanyakazi wake akafungwa, Rufani akaachiwa. Super Sami aliuwawa...
8 Reactions
27 Replies
547 Views
Suala la kutokunekana kwa aliyekua makamu wa Rais Emanuel Nchimbi na wana CCM kua kimya limefanya tuonekane kama mazuzu kwamba CCM ya watu wasiopungua watu 100 tuliobaki wote ni takataka ndani ya...
7 Reactions
26 Replies
422 Views
Back
Top Bottom