Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,143
Reaction score
16,846
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
 
e59de75e-1353-4c3a-b85d-37a74aa9dad7.jpeg
 
Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?
Kuna CCM walilawitiwa na waandamanaji? Hilo sijalisikia

Lakini unaponyimwa haki yako, kuna wakati inakuwa ni sawa kujichukulia hatua mikononi, na ndio maana Tanzania tuliunga mkono harakati za ukombozi kusini mwa Africa. Kwani unafikiri ANC, ZANU, BIAFRA, SWAPO, FRELIMO, MPLA nk walikuwa wanapigania demokrasia kwa kufuata sheria za nchi walizokuwamo? Walijaribu njia za amani watawala wakawa hawataki, kuwaweka ndani wanaharakati na hata kuwateka na kuwaua, kama inavyofanywa na CCM na watawala wake hapa nchini. Ikawa hakuna tena option nyingine bali kutumia njia mbadala.

Hata Nyerere aliunga mkono suala la kusema mtu anaekunyima haki yako na kukandamiza misingi ya kidemokrasia ya kuipata, anakulazimisha kuchukua hatua zisizo za kisheria kudai haki yake. Kwa yanayoendelea nchini, CCM wanaweza kutufikisha mahali wananchi wakaamua kudai haki zao kwa kutumia silaha.
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Aisee kichwani mwako utakuwa umejaza kamasi nyingi sana,
 
TLS n shirikisho la kitaaluma sio taasisi ya serikali

Kwa mtu yeyote mwenye akili ukilinganisha na madudu yanayofanyika kwenye nchi hii lazma utajikuta unacheza tone za upinzan tu
Taasisi za kitaaluma ziko nyingi; walimu, wafamasia, madakitari, wauguzi, wanahabari, nk wote wanavyo vyana vya kitaaluma, why TLS inatumika kama kono la chadema?

Hapa ni ama TLS ionywe, ifutwe au viongozi wajinga wachukuliwe hatua kali saaana ikiwemo kuondolewa kwenye uongozi na shirikisho ili waende wakawe huru kuendesha siasa kwenye vyama vya siasa kuliko kutumia TLS kama kichaka.
 
Aisee kichwani mwako utakuwa umejaza kamasi nyingi sana,
lete hoja sio upuuzi. Kwanini TLS imechagua upande uleule wa chadema dhidi ya maslahi ya umma wa waTanzania 65m wanaotumia na wanaotarajia kutumia ofisi za serikali za mitaa, vituo vya polisi, barabara za Mwendokasi, malori, sheli, mahakama, hospitali, nk kupata huduma ambazo zimechomwa moto na kakundi kadogo?
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Mngeifuta kwanza BAKWATA
 
Hakuna kitu
 
Vyama vyote vya kitaaluma vina fukuto la mabadiliko ni vile tu serikali imeweza kupenyeza wahuni wao kwenye uongozi wa Vyama husika ni tofauti kwa TLS wao wameweza kukwepa huu mtego wa kupewa viongozi wao wanajiamlia wenyewe

Kwan mara ngapi humu watu wanavilalamikia hvyo Vyama CWT,TALGWU,TUCTA, nk
 
Mngeifuta kwanza BAKWATA
Bakwata ipo kwaajili ya watu wengi wa dini hiyo tofauti na TLS. TLS inaacha maslahi ya watu 65m yachomwe moto na kajikundi ka watu wenye hasira na wanaodai haki yao. Kama TLS haina haja ya kutetea watu wa Mbagala waliokosa usafiri wa mwendokasi baada ya kuchomwa na watu wenye hasira wanaodai Katiba ina faida gani kwao?.

Kama hata TLS haiwezi kutengenganisha kati ya mali ya CCM na Samia na mali ya watanzania wote ina faida gani kwa watanzania? Ifutwe tu.
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Ikishafutwa ccm ifuatie Hiyo
 
Vyama vyote vya kitaaluma vina fukuto la mabadiliko ni vile tu serikali imeweza kupenyeza wahuni wao kwenye uongozi wa Vyama husika ni tofauti kwa TLS wao wameweza kukwepa huu mtego wa kupewa viongozi wao wanajiamlia wenyewe

Kwan mara ngapi humu watu wanavilalamikia hvyo Vyama CWT,TALGWU,TUCTA, nk
Leta ushahidi wa hilo.
 
Back
Top Bottom