Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

20 January 2026 Mahakama Kuu Kivukoni, Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=GE4wN4GVeyw Waziri wa zamani kwenye Wizara mbalimbali Geoffrey Idelphonce Mwambe amefungua kesi...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
  • Redirect
Kifo ni kifo. Msilete taharuki
3 Reactions
– Replies
– Views
Wazungu wanazema time will tell! Time has spoken now. KIFO NI KIFO LAZIMA KILETE TAHARUKI. Haya yote watu kwenda Kizimkazi ni kwa vile KIFO SIYO KIFO, LAZIMA KILETE TAHARUKI. Nadhani kuna SOMO...
0 Reactions
6 Replies
180 Views
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC). Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama...
5 Reactions
14 Replies
192 Views
  • Redirect
DEREVA ALIYETISHIA KWA SILAHA BENDERA AKAMATWA Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA Wilaya ya Dodoma, Sath John Masawa (31), kwa kosa la kumtishia kwa kitu kinachodhaniwa...
3 Reactions
– Replies
– Views
Je, ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia? Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga...
2 Reactions
15 Replies
118 Views
Kumetokea vifo na ajali kadhaa vinavyohusu watumishi wa serikali na Idara zake hivi karibuni. Vifo ninavyokumbuka: 1. Boti kuzama Kigoma na kuua watumishi 7 2. Askari polisi 5 na mahabusu 7...
3 Reactions
5 Replies
141 Views
Akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi Media Septemba 21, 2026, Dkt. Hamisi Kigwangala, Mbunge wa zamani wa Nzega na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii amegusia kuhusu maoni ya watu...
2 Reactions
9 Replies
292 Views
Vifo vya watumishi sita wa uhifadhi Tabora, pamoja na vifo vya simba 11 na fisi wawili Ngorongoro, ni matukio mazito yanayohitaji uwajibikaji na majibu ya kina kutoka kwa Wizara ya Maliasili na...
1 Reactions
7 Replies
141 Views
𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 Pumzika kwa Amani Mama Fatma Karume Innalillah wa inna ilayhi raji'un
2 Reactions
1 Replies
70 Views
Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana! Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa...
21 Reactions
81 Replies
2K Views
Tangu alipojiuzulu ubunge na nyadhifa zote za uongozi ndani ya CCM. Rostam aziz alifungasha virago vyake na kuelekea dubai. Ghafla tu aliposikia Tanzania tuna uchaguzi mwaka huu amerudi nchini na...
10 Reactions
225 Replies
33K Views
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kumekuwepo na mageuzi na mabadiliko mengi sana makubwa ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa. Kama mdau wa...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, ambapo nimeibua hoja 4 nikiuliza kama wajua kuwa Taifa lisilo la mhimili wa Nne ulio huru na imara ni kama taifa mfu kwasababu ile...
5 Reactions
15 Replies
307 Views
Siku chache zilizopita kuna taarifa ilisambaa kuhusu kutekwa kwa mbunge John Nchimbi. Kuna ukweli kuhusu taarifa hii? Kwa wanaofahamu mtujulishe.
3 Reactions
17 Replies
516 Views
Mimi naona kama Mzee alienda UTV kujisafisha lakini Tido Mhando angeuliza maswali technical kama haya, sidhani kama Mzee Aziz angeendelea na interview hiyo; 1. Mheshimiwa Rostam Aziz, umedai kuwa...
10 Reactions
15 Replies
1K Views
PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu. Na watu...
11 Reactions
51 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Wananchi kutambua kuwa hatua ya maridhiano iliyofanyika visiwani humo siyo mwisho wa safari bali ndiyo...
1 Reactions
2 Replies
119 Views
Back
Top Bottom