Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha...
0 Reactions
0 Replies
27 Views
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka waandishi wa habari kutumia fursa ya mahojiano naye kuuliza maswali magumu na yenye tija badala ya maswali mepesi...
3 Reactions
32 Replies
556 Views
Kuna mtu kapaka piko ili kufafanua jambo, kosa ni kupaka piko au kufafanua?
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri...
15 Reactions
103 Replies
2K Views
Kwanza ni muhimu tuelewe maana ya Demokrasia kabla ya kuutaka kujenga mfumo wa utawala ambao unakidhi matumaini yetu badala ya matakwa ya Demokrasia yenyewe. Kwanza Demokrasia ni nini? Imeelezwa...
7 Reactions
64 Replies
653 Views
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, ameagiza shule ya msingi iliyojengwa katika eneo la London, Kijiji cha Zeze, Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, kubadilishwa matumizi na kuwa shule ya...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Sheria ya uhaini ya sasa iko kisiasa zaidi na inawanufaisha wanasiasa pekee, imepitwa na wakati, irekebishwe isaidie kwenye nyanja za kiuchumi kama walivyofanya wenzetu wa China, Korea Kusini...
13 Reactions
18 Replies
350 Views
-Na wanaouawa ni vijana wadogo wenye ndoto zao 20th to 35 hapo. Matukio ni mengi hasa Arusha na Dsm.
2 Reactions
2 Replies
116 Views
Huyu bwana kajizolea sifa lukuki kwa wakenya na wapenda sheria wote duniani. Imefikia mpaka Watanzania wanamfananisha na Mwanasheria machachari Tundu Lissu.. Sijawahi kumshuhudia Lissu akiwa...
13 Reactions
156 Replies
20K Views
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/makala/elimu/ilborians-wanavyoikumbuka-ilboru-personality-na-maisha-ya-kande-5603842 Fredrick Sumay, Mwigulu , Lissu, madaktari wengi , Pascal na wengine ni...
3 Reactions
14 Replies
330 Views
Ndugu wanabodi naomba mnisaidie hili swali linanitesa sana. Ziliungana nchi mbili yaani Tanganyika iliungana na Zanzibar. Kila moja iliua baadhi ya stahiki zake kisha tukapata Tanzania. Na baada...
18 Reactions
102 Replies
878 Views
Kipindi Magufuli akiwa Rais (2016 -2021) twitter ya Zito Kabwe ilikuwa moto wa kuotea mbali ,alikosoa kila kitu cha Magufuli kuanzia tembea yake ,ongea yake, miradi, tumbua yake na hata unywele wa...
21 Reactions
55 Replies
1K Views
Habari za Sabato! 1. Bado tunafuatilia mambo yanavyoendelea. 2. Shujaa na Legendary ni Yule mwenye msimamo wa Haki, mwenye uwezo wa kujitoa maisha yake kwaajili ya msimamo wake na kupigania Haki...
17 Reactions
85 Replies
1K Views
Naona walipaji woté wako kimya! Kulikoni? Hazina imaishiwa? Fedha mmezipeleka wapi? Bankruptcy!
3 Reactions
5 Replies
206 Views
Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka. Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje? Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
1 Reactions
9 Replies
235 Views
Tanzania imetoa wito wa kulindwa kwa raia, kuruhusiwa kwa msaada wa kibinadamu bila vikwazo na kuhuishwa kwa diplomasia yenye lengo la kupata amani ya kudumu katika ukanda wa Gaza na Mashariki ya...
1 Reactions
17 Replies
389 Views
Wakati kenya Wanahangaika Kujenga Taasisi Imara Tanzania Tunahangaika Kumjenga Mtu Imara, Maendeleo Tutayasikia Kwa Jirani Tu!! uamuzi wa Supreme Court ya Kenya ni ushindi mkubwa kwa wapigania...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanabodi Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Leo Kufuatia ujio wa mitandao ya kijamii watu hawana muda kusoma makala ndefu, Nawawekea a short version ya salient features za...
1 Reactions
56 Replies
1K Views
Back
Top Bottom