Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Baada tu ya 'Kushinda uchaguzi' na 'kuthibitishwa' na tume ya uchaguzi mkuu wa kaya kwenye hotuba zake za mwanzo na kwenye teuzi mbali mbali alionesha nia thabiti ya kuwaweka 'wazee' kando(watu...
17 Reactions
47 Replies
5K Views
Jamaa yangu kwenye Media outlet kubwa iliyopo mitaa ya Mwenge Dar ananisimulia wapo kwenye mpango wa kupunguza watu Media hiyo ina magazeti kama G na N,(Nimeandika hivyo sababu siyo rasmi) MCL...
33 Reactions
178 Replies
13K Views
Katika nchi yoyote ile Rais wa nchi lazima awe mkweli kwa kila anachokisema, hapa TZ imekuwa tofauti kabisa baada ya Rais Kikwete kuwadanganya Watanzania ndani ya chama chake tawala cha CCM na...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Unajua kwenye maisha ni vizuri saa nyingine ujiweke kwenye hali fulani ya upande wa pili ili uone na ku prove kama ulichokua unakiona kabla ama kukisikia basi ndo kilivo katika uhalisia. Sasa...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Wanabodi Salaam, Leo tuseme na Rais Magufuli , tuondoe itikadi kwa wenye vyama, Biashara Tanzania imekufa na sio kila anayesema imekufa ni mpiga dili. Angalia meli zinazoshushia kwetu...
96 Reactions
341 Replies
29K Views
nimekua nikifuatilia hoja zinazoibuliwa na mwanasiasa wa Upinzani kupitia ACT nyingi ya hizo zinabase katika Taarifa zisizo sahihi hivyo kupotosha umma. kwakua Zito tayari ana base ya followers...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa sasa sitaki kuyaweka hapa matokeo ili kutokuharibu uchunguzi, ila in the end of the day zoezi la kusafirisha mchanga kwenda ng'ambo litaendelea kama kawaida bila bughdha yeyote... The tume...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Mi naanza naJPM, LISU, MAKONDA, NAPE, MALCELA taja wanaofuata
1 Reactions
16 Replies
1K Views
A friend commented: In this day, do we need to argue about infrastructure? Cities are expanding rapidly, modern ecosystems have growth in complexity, and ultimately, as w talk about the SDGs...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Wakuu, Nimeipata hii kutoka Dodoma. Kama hali iko hivi, basi nadhani ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuna kazi nzito. Vita vya panzi, tijara ya kunguru, inawezekana wakapita wasiotarajiwa kama...
10 Reactions
85 Replies
9K Views
Nimewaza Kwa sauti, Hivi watanzania umeona mipango ya viwanda, je bajeti ilopita mliona chochote, je bajeti pendekezwa ya sasa mmeona chochote katika kuifikia, hatufikiri, hatuoni machozi...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Ulituaminisha watanzania kuwa umeme wa maji hauna faida kiuchumi pale ulipokuwa ukizungumzia mradi wa Steigler’s gorge. Mradi ambao mwaka 2012 wabrazil walikuwa na interest ya kuwekeza $2bn...
12 Reactions
58 Replies
4K Views
Naambiwa kuna mtu anayetaka kuongea na mwandishi wa gazeti hili na kwamba mwandishi huyo nitakiwa mimi. Ninamkaribisha mtu huyo, mwanaume wa makamo. Tunaketi ili kuanza mazungumzo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Rc Makonda anafanya kazi ambayo watu wote wabaya huipenda ili watajirike kwa mkato, Ukimuona MTU anamshambulia Makonda jua moja kwa moja huyo muhusika wa Madawa ya kulevya. Hakuna jingine mtu...
5 Reactions
Replies
Views
Habari JF members Kwa sasa nimeamini nilifanya sana kosa 2015 kutoa support kwa CCM YA MAGUFULI ingawa ckuweza kupiga kura kwa kuwa nilikuwa mbali na nilipojiandikisha lakini niliweza...
2 Reactions
90 Replies
6K Views
Rais Magufuli awaapisha wajumbe wa Kamati Maalum ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga.
3 Reactions
71 Replies
6K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema amefurahishwa na uamuzi wa Kanisa Katoliki na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) wa kutafuta viwanja Dodoma ili wajenge ofisi za makao yao makuu pamoja na...
3 Reactions
119 Replies
16K Views
Baada ya Timu yangu ya Simba kufungwa, Chelsea kufungwa nikaamua nijikumbushe tu ahadi za wagombea wetu wa uraisi wa 2015. Mheshimiwa Edward Lowassa na John pombe magufuli. Edward Lowassa...
0 Reactions
1 Replies
501 Views
Nadhani hawa wabunge wa Afrika mashariki wanawakilisha nchi zao na siyo mabunge yao.Imefika sasa wabunge hao uwakilishi wao usiwe kwa wingi wa vyama vyao bungeni, maana mdhara yake tumeshayaona...
2 Reactions
9 Replies
934 Views
Nitengue na Kubadili jumla fikra hizi ambazo wakuu wa nchi wanazo juu ya wananchi wao kuwaza kwamba kati ya raia wake wamo maadui zake.. fikra hii ni ya kinyonge, na fikra dhaifu sana, na fikra...
1 Reactions
4 Replies
786 Views
Back
Top Bottom