Najaribu kufikiri mazuri ya Magufuli

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,663
Unajua kwenye maisha ni vizuri saa nyingine ujiweke kwenye hali fulani ya upande wa pili ili uone na ku prove kama ulichokua unakiona kabla ama kukisikia basi ndo kilivo katika uhalisia.

Sasa jumapili ya leo, nimeamua kabisa kujiweka kama mwana CCM na pro-magufuli citizen, yaani nimeamua kujiweka upande wa Magufuli na kuna mambo ntajaribu kuyapima logic yake katika hali ya uzuri.

Nitaorodhesha baadhi ya mambo na kuangalia faida zake kwa mtizamo wa ki uana-CCM japo nikimaliza kuandika huu uzi itabidi ni relax na angalau nile panadol kwa sababu ni kazi ngumu sana ya kuumiza mwili na kutesa ubongo. Anyhow, ngoja nijaribu. Unajua nataka nipate ile test ya kwanini wana ccm kindakindaki husifia kila kitu Rais anachofanya? huenda kuna mazuri wanayaona.

1) Kuhamisha pesa za mashirika ya serikali kutoka bank za bishara na kwenda BOT. Hii sera somehow imeleta mapinduzi fulani kwenye sector ya bank. Ile 'lazy banking' iliyokuwepo zamani bank ikihitaji deposit MD wa banki anamvutia waya Director wa Tanesco na anampa kiulaini sasahivi haipo tena. Ndo maana unaona sasa banki zinarudi kwa wananchi maana hakuna tena biashara ya kutegemea business za serikali.

Meaning sasa ili bank iwe profitable lazima irudi kwa wananchi. Deposits watoe kwa wananchi mikopo watoe kwa wananchi. So unaona kwa sasa hata kwenye banks, fikra na mitizamo sasa imemove kutoka kwenye ku target government parastatals na sasa wamegeukia wananchi. Nayaongea haya kwa kuwa na mimi nipo kwenye banking industry. So unaona kwa mlango wa nyuma imesaidia kusogeza bidhaa za bank kwa wananchi. Hii ni shift kubwa sana. Na ndo mana bank zilizokuwa na ujanja ujanja sasa zinayumba vibaya mno. Lakini naamini zita stabilize ni suala la mda.

So sasa unaona kwamba baada ya taasisi nyingi za serikali kuhamisha pesa zao BOT, kumeweza kupatikana cheap deposits na liquidity imeweza kuwa ni kubwa, hivo unaona sasa kuna pressure kubwa ya kuanguka kwa riba. Kama utaona so far kuna circular za BOT zilipita, moja ikiwa ni BOT imepunguza discount rate kutoka 16% hadi 12% na pia imepunguza reserve requirement kutoka 10% hadi 8% meaning kwamba wana adopt expansion monetary policy na hivo unaona lazima interest rate itashuka. Na itashuka mpaka kwenye mikopo ya public wanapoenda kukopa banks.

Ni suala la muda hii base interest rate ya 24% and around hapo unayoiona kwenye banks itapungua hadi around 19% ni suala la muda tu maana with cheap deposits na high liquidity in the money market, cost of funding kwa taasisi za fedha inakuwa ikakwenda chini. Na hata ukitazama Treasury bills auction ile weighted average yield nayo inadondoka kila auction iki signify market is overly liquid.

Hii naona kama heko kwa Magufuli, naamini ni heko kwake kwa asilimia kadhaa. Na naona ni kitu kizuri. Ni suala la wananchi kutumia hii kama chachu maana sasa ni wakati ambao banks zipo karibu na wananchi kuliko wakati mwingine wowote. Hivi kwani hamjashtuka? Mbali na hivo banks zimepunguza kiburi, naona kama sasa hivi customer service ni kubwa mno kiwango cha lami. Ni kama wametiwa discipline hivi. Heko Magufuli

2) Vita ya madawa ya kulevya- (Tume ya Sianga ya madawa ya kulevya), hapa kweli tusibeze hizi juhudi. Achana na alichofanya yule Mwehu Daudi Bashite. Ila ki ukweli kati ya mambo ambayo yanaharibu stability ya taifa lolote basi ni mihadarati. Hili kweli ni jambo la kupigiwa mfano. Nakumbuka Nyerere kabla ya kuipiga Uganda alisema na nukuu "...Tulitaka japo jumuia ya kimataifa imkemee tu Amini..."

Vivo hivo kwenye suala hili la madawa, kwa Tanzania tulikuwa tunataka sana hata tusikie kiongozi mkubwa japo akikemea tu, lakini kwa maraisi waliopita wala hawakuwahi kufanya hivo. Magufuli kafanya hivo kakemea na kaunda kabisa na special body. Hayo jamani ni mafanikio, sisi tutachofanya watanzania ni kupima utendaji kazi wa special body iliyoundwa.

Kweli hiyo nayo ni faida na wala tusibeze, ki historia hakuna Rais aliwahi kukemea Madawa ya Kulevya serious kama alivofanya Magu. Itakuwa ni ujinga kubeza harakati kama hizi na ni hatari pia.

Kuachia biashara ya madawa ya kulevya kwenye nchi ni kufuga na kulea magenge ya wahalifu na waasi. Uhalifu na uasi uliopo Mexico source ni cartels za madawa ya kulevya. Heko Magufuli.

To be continued......
 
Magufuli hakuna baya hata limoja alilofanya wanaolalamika fedha hakuna na wanaoshindwa kufanya biashara walikuwa wakwepa kodi, mafisadi na wapiga dili. .....wanaofanya biashara halali faida inaonekana maisha yanaenda
Unaongea kwa kutumia matako ya mzee pole pole. Hizo pesa mnazopewa bora ukafugie kuku itakusaidia.
Tuna hasira sana nyinyi, ha ha ha
Eti hakuna baya? Mpuuu...zi www na huyo mlevi wako. Hamjiangaliii.
Usiropoke tu km mzee pole pole anaenda ku.nya.
Nyie wapiga na wezi wakubwa wa nchi, mefuta ajira kwa vijana na helsb 15% ungekuwa karibu ww. Tungegawana nyumba za serikali.
Bora ukae kimya tu sbb unavyoongea km unajiharishia tu. Mezima ndoto nyingi za vijana wa taifa hili. Vijana wamesoma kwa tabu ili angalau wajikomboe kwa ajira za ualimu na udokta leo anatokea mpuuuz mmoja mwenye makamasi kichwan anafuta ajira. Ngoja ifike point ya nothing to lose. Ghadafi alikuwa na jeshi kubwa sana. Waliomzliza chuo 2015, 2017, 2018, 2019, 2020 wataungana halafu uje humu jf uandike tena km utapata huo muda wa kuandika. Stage ya nothing to lose is on the way. Time will tell
Nay wa mitego, na Wagosi wa kaya ni ishara tu yatakayotokea mbeleni. Msipokuwa makini hii nchi muda si mrefu itakuwa somalia au libya
puuuuu
 
Mabaya yapo ndugu na mazuri pia yapo. Nadhani kuanzia sasa ntajaribu kuweka kwenye maadhishi mabaya na mazuri yake.. Nahisi ntaandika kitabu.
 
Unaongea kwa kutumia matako ya mzee pole pole. Hizo pesa mnazopewa bora ukafugie kuku itakusaidia.
Tuna hasira sana nyinyi, ha ha ha
Eti hakuna baya? Mpiuu...zi www na huyo mlevi wako. Hamjiangaliii.
Usiropoke tu km mzee pole pole anaenda ku.nya.
Nyie wapiga na wezi wakubwa wa nchi, mefuta ajira kwa vijana na helsb 15% ungekuwa karibu ww. Tungegawana nyumba za serikali.
Bora ukaa kimya tu
puuuuu
Upo sahihi pia kabisa, nadhani tutapata muda kuchambua kila kitu..
 
Unaongea kwa kutumia matako ya mzee pole pole. Hizo pesa mnazopewa bora ukafugie kuku itakusaidia.
Tuna hasira sana nyinyi, ha ha ha
Eti hakuna baya? Mpuuu...zi www na huyo mlevi wako. Hamjiangaliii.
Usiropoke tu km mzee pole pole anaenda ku.nya.
Nyie wapiga na wezi wakubwa wa nchi, mefuta ajira kwa vijana na helsb 15% ungekuwa karibu ww. Tungegawana nyumba za serikali.
Bora ukae kimya tu sbb unavyoongea km unajiharishia tu. Mezima ndoto nyingi za vijana wa taifa hili. Vijana wamesoma kwa tabu ili angalau wajikomboe kwa ajira za ualimi na udokta leo anatokea mpuuuz mmoja mwenye makamasi kichwan anafuta ajira. Ngoja ifike point ya nothing to lose. Ghadafi alikuwa na jeshi kubwa sana. Waliomzliza chuo 2015, 2017, 2018, 2019, 2020 wataungana halafu uje humu jf uandike tena km utapata huo muda wa kuandika. Stage ya nothing to lose is on the way. Time will tell
Nay wa mitego, na Wagosi wa kaya ni ishara tu yatakayotokea mbeleni. Msipokuwa makini hii nchi muda si mrefu itakuwa somalia au libya
puuuuu
Na tatizo linapoanziaga ni hapo. Yani badala kuchangia mada kwa hoja unachangia kwa matusi.

Yani hiyo inaonyesha dhahiri umekosa hoja, hivyo unalazimisha wengine waamini hicho unachoamini ambacho ni hewa.
 
Umekuwa mkweli mno na ume ambatanisha na maelezo ya kiuchumi kuipa nguvu hoja yako. Nafikiri sasa serikali ianze kuangalia na hili wimbi kubwa la utitiri wa makapuni yanayokusanya pesa za watu na kuahidi kuwapa faida kubwa wenye pesa baada ya siku 15. Hawaelezi wanapataje faida kubwa kama hiyo wanayoirejesha kwa watunzaji fedha. Kama wanatoa mikopo na kwa muundo gani. Kinacholeta wasiwasi zaidi wameingia na mfumo wa Bitcoin ili wasiweze kuwa controlled na any centralized monetary system kama bank kuu. Nahisi hapa ndio wauza unga na wahalifu wengine wanatakatisha fedha na kukwepa mkono wa serikali.
 
Mabaya yapo ndugu na mazuri pia yapo. Nadhani kuanzia sasa ntajaribu kuweka kwenye maadhishi mabaya na mazuri yake.. Nahisi ntaandika kitabu.
nyie wezi ndio mnaona mabaya lakini sisi wachapa kazi na wazalendo tunajua hakuna baya hata moja alilofanya...Magufuli ameongeza ufanisi kazini, ameondoa wazembe na wala rushwa Tanzania imekuwa nchi ya neema sasa hivi
 
Unaongea kwa kutumia matako ya mzee pole pole. Hizo pesa mnazopewa bora ukafugie kuku itakusaidia.
Tuna hasira sana nyinyi, ha ha ha
Eti hakuna baya? Mpuuu...zi www na huyo mlevi wako. Hamjiangaliii.
Usiropoke tu km mzee pole pole anaenda ku.nya.
Nyie wapiga na wezi wakubwa wa nchi, mefuta ajira kwa vijana na helsb 15% ungekuwa karibu ww. Tungegawana nyumba za serikali.
Bora ukae kimya tu sbb unavyoongea km unajiharishia tu. Mezima ndoto nyingi za vijana wa taifa hili. Vijana wamesoma kwa tabu ili angalau wajikomboe kwa ajira za ualimu na udokta leo anatokea mpuuuz mmoja mwenye makamasi kichwan anafuta ajira. Ngoja ifike point ya nothing to lose. Ghadafi alikuwa na jeshi kubwa sana. Waliomzliza chuo 2015, 2017, 2018, 2019, 2020 wataungana halafu uje humu jf uandike tena km utapata huo muda wa kuandika. Stage ya nothing to lose is on the way. Time will tell
Nay wa mitego, na Wagosi wa kaya ni ishara tu yatakayotokea mbeleni. Msipokuwa makini hii nchi muda si mrefu itakuwa somalia au libya
puuuuu
kama watumishi wako wa kutosha wengine waajiriwe kufanya nini? kusoma sio lazima kuajiriwa inatakiwa wajiajiri
 
nyie wezi ndio mnaona mabaya lakini sisi wachapa kazi na wazalendo tunajua hakuna baya hata moja alilofanya...Magufuli ameongeza ufanisi kazini, ameondoa wazembe na wala rushwa Tanzania imekuwa nchi ya neema sasa hivi
Taratibu unaanza kuniaminisha nilichokuwa nahisi ni kweli juu ya wana CCM. Ndo mnapoharibu hapo, mpaka mnaonekana ni wehu. Kuna ulazima gani wa kuniita Mwizi?

Tupingane kwa hoja, suala la kuniita mwizi sio kujenga hoja.. Sanasana unawajibu watu kwanini wewe ni mtu wa kuibiwa kila siku.
 
Kuna wakati tuliambiwa kuna walioficha fedha uvunguni , tukaonyeshwa hapa maburungutu na baada ya kuyahesabu ikaja kugundulika kwamba kumbe ili tsh laki 3 , sijajua kwanini hela hazojabadilishwa kama tulivyoambiwa .
 
kama watumishi wako wa kutosha wengine waajiriwe kufanya nini? kusoma sio lazima kuajiriwa inatakiwa wajiajiri
Unaongea tu kwasbb siyo kichwa chako. Nataman tungekuwa face to face. Leo ndiyo ungejua kwann kikwete aliajiri lkn huyu dikikteta uchwara kagoma. Yaan ndugu leo ungepew jina jpya la marehemu.
 
Magufuli hakuna baya hata limoja alilofanya wanaolalamika fedha hakuna na wanaoshindwa kufanya biashara walikuwa wakwepa kodi, mafisadi na wapiga dili. .....wanaofanya biashara halali faida inaonekana maisha yanaenda
Nina HAKIKA kuna atakayejitokeza kukutukana kwani inanilazimu kusema, umeonyesha kiwango cha chini sana cha fikra.

Na huyo atakayekutukana usimlaumu kwani atakuwa na haki ya kufanya hivyo..
 
Na tatizo linapoanziaga ni hapo. Yani badala kuchangia mada kwa hoja unachangia kwa matusi.

Yani hiyo inaonyesha dhahiri umekosa hoja, hivyo unalazimisha wengine waamini hicho unachoamini ambacho ni hewa.
Unaweza kumtukana mtu lkn point zikawemo za kutosha tu. Nadhan umekurupuka tu.
Nadhan kilichoongelewa unakijua
 
Back
Top Bottom