charles mususa
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 297
- 144
Nadhani hawa wabunge wa Afrika mashariki wanawakilisha nchi zao na siyo mabunge yao.Imefika sasa wabunge hao uwakilishi wao usiwe kwa wingi wa vyama vyao bungeni, maana mdhara yake tumeshayaona kwetu Tanzania.Tuangalie namna ya kuwachagua sisi wananchi wenyewe.Secretariat ya E.A fanyia kazi pendekezo hili, ili kupanua zaidi demokrasia na kuwafanya wachache kuwachagulia wengine wawakilishi kwa matakwa yao.