Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,825
- 730,233
Baada tu ya 'Kushinda uchaguzi' na 'kuthibitishwa' na tume ya uchaguzi mkuu wa kaya kwenye hotuba zake za mwanzo na kwenye teuzi mbali mbali alionesha nia thabiti ya kuwaweka 'wazee' kando(watu waluohudumu kwenye awamu zilizopita) na kuwapa kipaumbele vijana wengi wapya ambao ni makada wa chama chake kwenye nafasi mbalimbali lakini wengi wakiwa hawana uzoefu.
Kwa maneno yake mwenyewe (Pengine aliimaanisha) kwamba ameacha kuteua 'wazee' kwakuwa wengi ni mafisadi na wala rushwa..... Uzoefu haukuongelewa
Kwenye buch ya Kwanza ya wale vijana wakuu wa wilaya na mikoa tuliona wazi tashwishwi waliyokuwa nayo, nyuso za kung'ara na bashasha tele....
Kidogo tuingie mkenge ule... Lakini sie wa kuhoji tukahoji..... Dhana ile ya utu uzima dawa haikupewa uzito wowote
Jamani AGE MATTERS....! kuna hekima na busara nyingine huletwa automatically na umri
Ndani ya miezi 24 tumeona sarakasi zake vijana waliokuwa tegemeo kubwa mno la mkuu wa kaya.... Mmojawapo huyu wa Dsm ndio kavunja rekodi kwa vituko, maigizo, wizi uongo, udanganyifu uzandiki rushwa na majungu.
Kwenye organ nyingine watu wamewajibishwa kwa tuhuma tuu.... Lakini huyu pamoja na yote aliyofanya bado anadunda...
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.. Na ni rahisi zaidi kumwadhibu mtoto wa kambo kwa kosa ambalo huwezi kumwadhibu asiye wa kambo.