Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Habari JF members
Kwa sasa nimeamini nilifanya sana kosa 2015 kutoa support kwa CCM YA MAGUFULI ingawa ckuweza kupiga kura kwa kuwa nilikuwa mbali na nilipojiandikisha lakini niliweza kuwashawishi wengi kumpigia kura Magufuli. Nakiri kuwa nilikosea kwa sababu ya haya ;
1. Ajira hakuna
2. Maisha magumu
3. Uhuru wa kutoa maoni hakuna
4. Wananchi hatusikilizwi
5. Haki haifuatwi wanatumbuliwa wengine wengine wanaachwa.
6. Kila siku matamko ambayo wengi hutuumiza.
7. Viongozi wanajiona miungu watu
Kuna machache ya kuyasifia ingawa kwa wananchi wengi hatufaidiki nayo moja kwa moja:
1. Kubana matumizi
2. Nidhamu kwa watumishi
3. Kuondolewa watumishi hewa
4. N.k