Wanabodi Salaam,
Leo tuseme na Rais Magufuli , tuondoe itikadi kwa wenye vyama, Biashara Tanzania imekufa na sio kila anayesema imekufa ni mpiga dili.
Angalia meli zinazoshushia kwetu zimepungua kama sio kuisha, mzunguko wa pesa mtaani hakuna, pesa imezidi kushuka thamani, biashara ya nje mmekataa, wafanyakazi nao huko wanalia kila kukicha, mabenki yameathirika.
Mimi kwa hilo sikupendi kabisa na kura sitokupigia milele, huwezi kuturudisha kwenye hali ngumu halafu tukuchekee never ever.