Tayari nimeshayafahamu matokeo ya tume ya kuchunguza mchanga wa dhahabu!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Kwa sasa sitaki kuyaweka hapa matokeo ili kutokuharibu uchunguzi, ila in the end of the day zoezi la kusafirisha mchanga kwenda ng'ambo litaendelea kama kawaida bila bughdha yeyote...
The tume thing is a polite way for a leader to apologize for being misled... If our leaders realize that they are not gods and allow the flexibility on their decision, that's the best way to run a state!...
I give them five for this...
 
Maigizo ya ShilawaDU yamezoeleka.
Kesho kaandaa mgomo wa malori na mabasi kisha anautatua yeye na Bashite.
Kwahiyo hata hii michanga ni moja ya maigizo yake tu kujifanya anafanya kazi kumbe yuko Instagram anamsoma Mange akitoka hapo anaenda facebook kisha twitter.

ShilawaDU ni matatizo tupu nothing to expect in TZ.

Hii ni Tz ya mnyarwanda na Msukuma matapeli wawili
 
Tanganyika kuna wasomi , wachambuzi, waganga na wapiga ramli chonganishi, wengi sana lakini bahati mbaya sana Tanganyika pamoja na kuwa na watu wengi hasa wasomi kwenye sector hizo kuwa wengi lakini watu wenye AKILI ndani ya Tanganyika wachache sana

Kwani kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na Akili

Kusoma ni kuwa na maarifa tu ambayo maarifa hayo yanapatikana kwa kwenda shule au uzoefu

Lakini Akili zinapatokana kwa Mungu hakuna Shule au Chuo chochote kinachofundisha Akili kitu hiki Watanganyika wengi hawajapata bahati hii ya kupewa Akili
 
Mkapa style halafu, mwisho wa siku wajumbe huambulia vijembe.

Wewe umeshasema ile ni gold na sio mchanga tume ya nini sasa.

Mzee wa maigizo, mtunzi, director, camera man vyote ni wewe.

Tatizo unarudia script ambazo wenzao walishafail, ila kwa sababu ya ubishi wako wenzio wanakutizama tu, kwa sababu unamopita wewe wenzio walishapita na matokeo wanayajua.

Mwisho wa siku mtatumia ile karata yenu ya mwisho kabisa lubuva au Jeche style.
 
Kwi kwi kwi kwi kwi lol! mitandao ya hovyo hovyo!

Maigizo ya ShilawaDU yamezoeleka.
Kesho kaandaa mgomo wa malori na mabasi kisha anautatua yeye na Bashite.
Kwahiyo hata hii michanga ni moja ya maigizo yake tu kujifanya anafanya kazi kumbe yuko Instagram anamsoma Mange akitoka hapo anaenda facebook kisha twitter.

ShilawaDU :) ni matatizo tupu nothing to expect in TZ.


Hii ni Tz ya mnyarwanda na Msukuma matapeli wawili
 
Back
Top Bottom