assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Nimewaza Kwa sauti,
Hivi watanzania umeona mipango ya viwanda, je bajeti ilopita mliona chochote, je bajeti pendekezwa ya sasa mmeona chochote katika kuifikia, hatufikiri, hatuoni machozi yananitoka.
kweli watanzania hatukusikia alichosema jaji pale arusha (dhamana ya lema) .kuachiwa kwa nay WA mitego. je katiba inaruhusu mambo haya. kungolewa tairi za pikipiki na mabasi zipitapo mwendokasi bila kufika mahakamani wako wapi wanafiki wanamsifu Nyerere juu ya kuheshimu katiba halafu wamekaa kimya, kilio kinaanza
Vipi kuhusu Dada glory Nesi aliehukumiwa miaka Saba 7 jela kwa kughushi vyeti, halafu bashite watu kimya. nazuia machozi yanafika mashavuni
Napata kwikwi tunakatwa 15% ya mkopo bodi bila ridhaa yetu wakati mkataba WA mwanzo ilikuwa 8%. Nani wakunisemea natoa machozi km ya samaki yanapotea
Naogopa kuendelea machozi yamezidi eti zuia Mchanga sio zuia mkataba feki Na kamata waliouingia in the first place
nimeikumbuka katiba pendekezwa,umejificha wapi,kutwa nakutafuta umenikimbia,muda wangu nilotumia kodi zetu tulizolipana, nan anifute machozi haya.
Sasa sijamaliza Ila nimecheki account yangu haifiki ml 7 Siruhusiwi kujieleza zaidi,naogopa Uhuru wangu. kwani freedom of expression bila fear IPO ngoja nimuulize nay WA Mitego hapana nimewaza kwa sauti Lissu atanifaa.
##wereever#