OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,649
- 120,252
Wakuu nimekuwa nikitafakari kwa kina sana ukimya ule wa Mh.Mwigulu baada ya Mkuu wa Mkoa Makonda kutaja majina ya waliosemekana wauza ngada.
Katika kutafakari nimekuwa nikiomba msaada kwa watu wa ndani kujua sababu hasa ilikuwa ni ipi kwa waziri mwenyewe dhamana kuwa kimya katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi pengine kuliko kipindi chote
Nimepata msaada
Ni tetesi kwamba awali kabisa Mh.Mwigulu alipewa assignment ya kutaja wauza ngada hao hadharani kama alivyofanya Makonda. Lakini kwa ujasiri wake Mwigulu alikataa kuwataja watu hao kwa hoja kwamba hakukuwa na ushahidi madhubuti na akashauri mamlaka husika zifuatilie suala hili ili ikibainika wapelekwe mahakama badala ya kuwataja.
Ushauri wa Nchemba ulipuuzwa kwa kuonekana muoga badala yake akatwisha zigo Makonda ambaye kwa ujasiri na ukakamavu akafanya aliyoyafanya
My Take
Hongera Mwigulu kwa ujasiri huo.Tunakuomba sasa ujasiri huo uende mbali kwa kuamuru aliyevamia Clouds Media akamatwe na kupelekwa sero