Jaji Mutungi amrejeshea Mosore cheo chake NCCR kama alivyofanya kwa Prof. Lipumba

Natamani Dr. Slaa naye aje arejeshwe kwenye wadhifa wake wa Ukatibu Mkuu wa Chadema, ndipo waone mziki wa chadema utakavyochezwa.

Sijui huyo mama atafanya kazi na nani?
 
Katika nchi zingine, watu wasingehangaika na Mapumba wala Masore maana hao ni vibaraka tu, watu wangecheza na anayewatuma. Yaani inatokea siku mnazaa na msajili. Hapo ndio atatia akili. Kwenda mahakamani ni kucheleweshana na kunyimana ruzuku kwa mgongo wa kusubiri uamuzi wa mahakama.
 
Tatizo vyama vya siasa hasa vya upinzani vinakubali kuchezewa na selikari pamoja na Ccm hivi wemefikia kupangiwa na wakuaongoza wasipo angalia watapotea kwa kasi sana naitakua furaha kwa Ccm na selikari yake
 
Hata kama unatumiwa vitu vingine siyo vya kukubali,kwani vinadhalilisha hata taaluma (SV) ya Mhe. J.Na ukizingatia kuwa yeye pia ni mcha Mungu,Mhe.J.uko wapi? ucha Mungu wako,kumbuka pesa siku zote haziishagi utamu,na hutayamaliza mahitaji yako yote kwa pesa hizo tenda haki utakumbukwa na wewe na uzao wako na Tanzania ya kesho.Nani ajuaye kwamba CCM itakuwepo milele? Ikitokea Mungu akavipa dola vyama vya upinzani wewe na watoto wako mtajificha wapi?.Tanguliza maslahi ya Tanzania kwanza.
 
Mosore arejeshewa cheo chake NCCR

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amemrudisha Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, Leticia Mosore kuendelea na wadhifa wake.

Soma zaidi:

Mosore arejeshewa cheo chake NCCR


Jaji mutungi anavijua vyama masiala vya kufanya masiala haya. Sidhan hata kama anaiwazia chadema kumleta MTU alofukuzwa uku kwan anajua jinsi gani atakavyopasuliwa vipande vipande. Analijua hilo
 
Back
Top Bottom