Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,067
Heshima kwenu wakuu,
Napenda kuwajulisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo yuko mbele ya Kamati ya Maadili Haki na Madaraka ya Bunge.
Taarifa ya kamati itafikishwa kwenye Bunge zima na kusomwa.
Tuvute subira tujue mbivu na mbichi..
=====
UPDATE;
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amewasili Bungeni na kupokelewa na Mkuu kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano Owen Mwandumbya kuitikia wito wa Kamati ya Bunge ya Haki, kinga na Madaraka kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge.
Wito wa kufika mbele ya kamati hiyo umefikiwa kifuatia azimia la Bunge lililotewa tarehe 8 Februari 2017 kumuomba Spika kuwaita mbele ya kamati wakuu wa wilaya na mikoa waliotoa matamshi ya kudharau mamlaka ya Bunge
Ifahamike kuwa, RC Makonda meitwa kujibu tuhuma za kutoa matamshi ya kudharau Mamlaka ya Bunge aliyotoa mapema mwaka huu kwamba wengi wao hakuna wanachofanya zaidi ya kuchekesha na kulala tu bungeni.