Naomba kujuzwa; Ni ipi sababu ya serekali kujikadiria badget kubwa, isiyotekelezeka?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,053
23,499
Nimekuwa najiuliza sana juu ya hili,

Kwanini serekali yetu hujikadiria matrillion mengi mno katika miaka yake ya kifedha huku pengine ikifahamu haitaweza kufikia kupata kiasi hicho?

Naomba kujibiwa kitaalamu.

Kwanini isiseme tu tunataraji kupata shs 3 na tutafanya hili na lile!
 
Ni nikupe mfano: Una familia ya watoto 4 wote wako shule, umepanga nyumba. Kipato chako ni sh. laki 2 kwa mwezi, mkeo mama wa nyumbani. Ukiambiwa upange bajeti ya mwezi uta

panga ya laki 2? Pengine ukipiga hesabu ya mahitaji ya msingi kama shule, chakula, mavazi, umeme,maji, afya, kodi unajikuta unafikia sh. laki 7 kwa mwezi
 
Maybe coz the tanzania uganda pipeline Will be working to generate income and reforms in minerals contracts will be done so the country will have several options in collecting its income
 
Tatizo ni siyo kukadiria budget kubwa tatizo ni mipango mibovu, mkuu alitegemea atakusanya kodi kwa amri badala ya kuwa na mipango haswa sekta binafsi kuziwezesha sababu wana nafasi kubwa badala ya kutegemea kwenye mishahara ya wafanyakazi.
 
Nimekuwa najiuliza sana juu ya hili,

Kwanini serekali yetu hujikadiria matrillion mengi mno katika miaka yake ya kifedha huku pengine ikifahamu haitaweza kufikia kupata kiasi hicho?

Naomba kujibiwa kitaalamu.

Kwanini isiseme tu tunataraji kupata shs 3 na tutafanya hili na lile!
Kuna sehemu niliwahi kusoma kwamba tulio wengi huwa tunaferi katika malengo kwasababu huwa tunajiwekea kiasi kidogo sana cha kukamilisha na tukisha kikamilisha ujiona tumemaliza na kujiona tayari katika maisha. Maana yake ni kwamba, daima jikadirie vitu vikubwa zaidi (think big), ikitokea ukafanikiwa utakuwa uko mbali sana na ikitokea ukakwama bado utakuwa umefanikiwa kwasababu sehemu uliyoifanikisha kwa mwingine ni kubwa sana.

Vipi mleta mada unasemaje kwa hili?
 
kujidanganya huku
 
Bajeti ya 31 trn ni parefu sana,ila tusubirie tuone mwaka wa fedha wa 2017/2018 utakuwaje!
 
Ni nikupe mfano: Una familia ya watoto 4 wote wako shule, umepanga nyumba. Kipato chako ni sh. laki 2 kwa mwezi, mkeo mama wa nyumbani. Ukiambiwa upange bajeti ya mwezi uta

panga ya laki 2? Pengine ukipiga hesabu ya mahitaji ya msingi kama shule, chakula, mavazi, umeme,maji, afya, kodi unajikuta unafikia sh. laki 7 kwa mwezi
Duuuuh kwa hiyo bajeti yetu sisi tunaunga unga
 
Mkuu huwezi kujibiwa kitaalamu wakati Bajeti yenyewe haiko kitaalamu. Nachoweza kusema ni kuwa wanamfurahisha mkuu na vichwamaji wachache! Last year ilikuwa ya trillion 29 ukiuliza mrejesho utaitwa mchochezi Mara huitakii mema tanzania.
 
Anaogopa kutaja bjt ya 22 au 29 tr ili asiwe chini ya JK maana ni mzee wa kiki... JK alikiwa omba omba yeye mzee wa kanda hii hawez kuomba... alitegemea atapata pesa kwa kubana mianya ya rushwa na kwa wafanya biashara kumbe hamna kitu.... walio kuwa wanaiba bandarini walijifilisi kabla yake,yeye alidhan ni wafanya biashara wote wanaiba bandalini kumbe wap.....
 
Siyo kwenye bajeti tu. Ats kwa upande wa matokeo ya necta yakishuka watakwambia yameongezeka kwa 3%, mfano wanaostail kuingia forn five hawazidi 27%. Lakin mama ndalichangu ana kwambia wamefaulu kwa asilimia 78+ %
ni siasa chafu zisizokuwa na tija kwa nchi bali kwa chama, ili wakati wa kampeni wawaambite wajinga elimu inakuwa au uchumi unakuwa
 
Back
Top Bottom