GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Pamoja na kujitahidi Kwake kote kutaka kuwashawishi hasa Wapinzani wenzake wakiongozwa na CHADEMA jana Mbunge Zitto Kabwe alionja sehemu chungu ya ' Unafiki ' wake pale ambapo alipowaomba Wapinzani wagawane nafasi ya Ubunge wa Afrika Mashariki ili hata Vyama vidogo vya Upinzani ( kikiwemo chake cha ACT ) nacho kiweze kupata uwakilishi lakini ombi lake hilo likatupiliwa mbali na kuonekana ni Mtu ambaye alichukizwa mno na hili.
Pole sana Mtani wangu wa Kiha ( Kigoma ) Zitto Kabwe ila kuna Watu humu wenye akili zao kubwa tu, nzuri na zilizotukuka kabisa walishawahi ' kukuonya ' juu ya kitendo chako cha ' Kinafiki ' kabisa cha leo hii kuamua kuungana na Wapinzani hasa hasa Chama ambacho ' kilikufurumusha ' kwa aibu cha CHADEMA huku ukionekana wazi wazi ' ukijipendekeza ' Kwao pengine kwa maslahi yako ya Kisiasa unayoyajua Wewe.
Sasa kama kweli CHADEMA ni ' Maswahiba ' wako inakuwaje ' wamekutosa ' juu ya ombi lako Kwao la kutaka hadi Chama chako cha ACT na chenyewe kipewe angalau nafasi moja tu katika Bunge la Afrika ya Mashariki ( EALA ) ?
Je Zitto Kabwe baada ya ' Maswahiba ' wako hasa CHADEMA ' kukutosa ' je bado utaendelea kujipendekeza kwao na kuwa nao karibu Bungeni na kwa mambo yote yatakayokuwa yanatokea Bungeni tukianzia na Bunge la Bajeti linalotarajiwa kuanza ' kutiririka ' Kesho?
Naomba kuwasilisha.