Tundu Lissu akiwasili katika mahakama ya Kisutu

Du!
Jamaa ni shida, Bagi tatu full papers. Kweli elimu ni nzuri, kalamu inanguvu kuliko risasi. Ingekuwa ni Bashite hapo angewachukua wale majambazi wake na kwenda kuvamia.

Jamani pelekeni watoto Shule na sio kuwatafutia kazi kwenye daladala...
 
Jamaa anatumia nguvu kweli kujitangaza, huyu Tundu ni lazima atakuwa na matatizo aidha alikosa mapenzi ya Wazazi wake utotoni au Shuleni alikuwa kibonde aliyeonewa na sasa ana jaribu kufidia ukubwani lkn kwa bahati mbaya kwa gharama ya chadema! Muda utafika hata Wachaga watamshtukia na kumwaga!
Kuna kitu ulitaka kuandika hapa, Tatizo umeshindwa kuki-organise vizuri, kwasababu nakosa Link kati ya kukosa mapenzi ya Wazazi utotoni au shuleni na kua Wakili mzuri sana
 
Jamaa anatumia nguvu kweli kujitangaza, huyu Tundu ni lazima atakuwa na matatizo aidha alikosa mapenzi ya Wazazi wake utotoni au Shuleni alikuwa kibonde aliyeonewa na sasa ana jaribu kufidia ukubwani lkn kwa bahati mbaya kwa gharama ya chadema! Muda utafika hata Wachaga watamshtukia na kumwaga!
Hiyo saikolojia yako sjui umeitoa wapi. Kwa mtu mwenye uwezo mzuri wa kufikiri lazima atafahamu kwamba Lissu ni jembe. Ukiweka pembeni ushabiki wa kisiasa lakini
 
Jamaa anatumia nguvu kweli kujitangaza, huyu Tundu ni lazima atakuwa na matatizo aidha alikosa mapenzi ya Wazazi wake utotoni au Shuleni alikuwa kibonde aliyeonewa na sasa ana jaribu kufidia ukubwani lkn kwa bahati mbaya kwa gharama ya chadema! Muda utafika hata Wachaga watamshtukia na kumwaga!

Ya Tundu lissu tumekuskia sasa usiwe mnafiki na Magu ana matatizo gani Rais wa Nchi fulu kulalamika mda wote akijipumzisha anaangalia Shilawadu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom