Ngamanya Kitangalala
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 501
- 1,214
Kwa kiongozi aliyeingia madarakani, kwa kumuondoa Rais halali aliyechagulia na wananchi
Na leo anakuwa Rais wa kwanza kutoka Afrika, kualikwa na kuonana na Rais mpya kutoka moja ya taifa kubwa kabisa, lenye kujipambanua kuwa ni baba wa demokrasia duniani
Waafrika tuna lakujifunza hapa