Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Samia Suluhu Hassan imekanusha taarifa zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uhusika wake kwenye VICOBA, SACCOS na vikundi vingine vya kukopeshana...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Uhuni wa CCM Zanzibar mission impossible. Any other way naona disaster come too soon.
0 Reactions
3 Replies
725 Views
1.Kujitofautisha na CCM Upinzani umekuwa ukifanya mara nyingi mambo ambayo CCM inafanya 2. Kuwa na agenda ya kudumu Upinzani haijawahi kuwa na lengo kuu au mkakati ambao walianzisha ukafikia...
1 Reactions
1 Replies
809 Views
Nadhani palikuwa na haja ya kuanzishwa Mahakama ya Katiba kwanza kuliko hiyo ya ufisadi 1 kwa vile kila mtu ni fisadi katika mfumo huU wa utawala wa CCM. Mahakama ya ufisadi haiwezi kufanya kazi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau wa JF, Napenda kuuliza pia kuelimishwa juu ya hili hivi kuna umuhimu gani wa kuanzishwa kwa mahakama ya kifisadi kama hali yenyewe ndio hii. Hivi kweli mahakama imeeakuta na hatia Mh...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Jeuri ya CCM Zanzibar mtajuta i am the bard who past present and future tells.
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Ni kata ya lulanzi maarufu kwa jina la chacha wilayan kibaha mkoa wa pwan wananchi wamejikuta wakiish maisha ya wasi wasi nakutokujua hatma yao baada ya majambazi kuweka kambi katika kata...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Badala ya kujadili ukosefu wa maji kwenye Majimbo Yao wanataka kuuza sura runingani!!! Bora tusione kabisa hili Bunge. Waziri Nape katoa Maelezo ya Serikali juu ya sababu za kutorusha live. Bado...
18 Reactions
436 Replies
39K Views
Akiwa ameambatana na aliyekuwa mgombea wa kiti cha urais wa JMT kupitia ADC chief lutasola Yemba,Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia ADC amethibitisha kushiriki uchaguzi wa mwezi march wa rais wa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Waziri wa fedha wa zamani mheshimiwa Simon Mbilinyi ameunanga utawala wa awamu ya nne na kusema ziara nyingi zilizofanywa nje ya nchi kipindi chote cha awamu ya nne zilikuwa hazifanyiwi tathmini...
3 Reactions
37 Replies
8K Views
Enzi za Magufuli Enzi za Kikwete Huu utamaduni ulianza lini? Una maana gani? Kwa anayefahamu
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Heshima mbele wakuu. Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vichache vikongwe vilivyosalia vikitawala baadhi ya nchi za Afrika.Hata hivyo mwenendo wa chama hiki katika chaguzi mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Afisa wa TANAPA bwana Kisamo Emmily ameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kuchinjwa kama mbuzi huko Arusha. Mwili uko kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Mount Meru. Kuna tetesi...
1 Reactions
192 Replies
40K Views
Kuna watu wanashambulia kwamba kila siku ni matamshi ya kuombewa. Sijui kwa nini hawa hawakutamka wakati Magufuli anachukua fomu. Nimeamua kuweka thread inayojitegemea ili kuwakumbusha.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Ni dhahiri kwamba Uchaguzi Mkuu wa 2015 umemalizika. Kumalizika kwa uchaguzi Mkuu wa 2015 kunatoa fursa kwa vyama vya siasa kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao. Mpaka...
10 Reactions
54 Replies
7K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Kumeibuka mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete kumuomba Rais Magufuli kuwafikiria, kuwapongeza na kuwawezesha vijana 46...
10 Reactions
167 Replies
14K Views
Waziri wa Katiba na Sheria Dokta HARISSON MWAKYEMBE ameishauri Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai-ICC kutatua manung`uniko ya Bara la Afrika Waziri wa Katiba na Sheria Dokta HARISSON...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Vurugu kubwa zimeibuka katika wilaya ya Mong Kok huko Hong Kong baada ya polisi kupambana na 'wamachinga' wakati wakiondoa kwa nguvu shehena za vyakula zilizowekwa kwa ajili ya kusherehekea Mwaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kuhusu uzushi kuwa Makamu wa rais ameanzisha SACCOS kwa ajili ya mikopo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom