Hamad Rashid:ADC itashiriki uchaguzi march 20

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Akiwa ameambatana na aliyekuwa mgombea wa kiti cha urais wa JMT kupitia ADC chief lutasola Yemba,Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia ADC amethibitisha kushiriki uchaguzi wa mwezi march wa rais wa SMZ.

Pia amehoji wale wanaopinga kurudiwa kwa uchaguzi wanapinga kwa kauli tu bila vitendo kwani hawajaenda mahakamani wakati fursa ipo.

Hv mgombea binafsi anaruhusiwa?Huyu si alishafukuzwa ADC
 
Maana ya kuwa na vyama vingi ni pia kuwa na mawazo, mipango na maamuzi tofauti. Sioni kwa nini tupinge maamuzi ya ADC wakati tunajua ni chama huru na katiba yake ni tofauti na vyama vingine. Vinginevyo hakuna 7bu ya kuwepo vyama mbadala.
 
naona hamad analeta ugomvi wao binafsi na seif kwenye mambo ya kitaifa.
 
hakuna kitu hapo , huyu mchumia tumbo kishatimuliwa kwenye chama , hana lolote .
 
huyundugu kwasasa anayotenda ni ilimradi tuu apingane na cuf.hahahaa...beef za wazee zinachekesha.
 
naona hamad analeta ugomvi wao binafsi na seif kwenye mambo ya kitaifa.
hivi mtu mdogo kama huyu ni wa kugombana na shujaa wa Taifa Maalim Seif ? huyu alitimuliwa cuf baada ya kufumaniwa usaliti wake .
 
Akiwa ameambatana na aliyekuwa mgombea wa kiti cha urais wa JMT kupitia ADC chief lutasola Yemba,Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia ADC amethibitisha kushiriki uchaguzi wa mwezi march wa rais wa SMZ.

Pia amehoji wale wanaopinga kurudiwa kwa uchaguzi wanapinga kwa kauli tu bila vitendo kwani hawajaenda mahakamani wakati fursa ipo.
Akiwa ameambatana na aliyekuwa mgombea wa kiti cha urais wa JMT kupitia ADC chief lutasola Yemba,Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia ADC amethibitisha kushiriki uchaguzi wa mwezi march wa rais wa SMZ.

Pia amehoji wale wanaopinga kurudiwa kwa uchaguzi wanapinga kwa kauli tu bila vitendo kwani hawajaenda mahakamani wakati fursa ipo.
Huyo ni Makamo wa Rais mtarajiwa
 
Back
Top Bottom