Polisi wa Hong Kong wapambana na wamachinga!

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Vurugu kubwa zimeibuka katika wilaya ya Mong Kok huko Hong Kong baada ya polisi kupambana na 'wamachinga' wakati wakiondoa kwa nguvu shehena za vyakula zilizowekwa kwa ajili ya kusherehekea Mwaka Mpya.
Vurugu hizo ziliibuka usiku wakati wakaguzi wa vyakula na afya walipowatimua 'wamachinga' katika mtaa ambao una pilika nyingi.
Waandamanaji wenye hasira waliwarushia matofali polisi, ambao walitumia virungu na kumwaga pilipili na kufyatua risasi mbili hewani ili kuwatuliza.
Watu 54 wamekamatwa na wengine 90 wamejeruhiwa.

_88172316_57bd2765-e6f7-4646-a083-6813910125a5.jpg

_88172153_3b6e5e10-7325-496f-9ecf-5cfd7fef668a.jpg

_88172155_d4e9c0d5-d5a4-4392-a32d-06abf66a28aa.jpg

_88172389_cd9d41bc-73ff-4198-99a7-72ebf5cdced9.jpg
 
Back
Top Bottom