kat.ph JF-Expert Member Dec 19, 2013 2,222 1,676 Feb 9, 2016 #1 Enzi za Magufuli Enzi za Kikwete Huu utamaduni ulianza lini? Una maana gani? Kwa anayefahamu
habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,743 Feb 9, 2016 #3 Inaonekana hakuna ajuaye hii tamaduni, ni ubunifu wa ikulu tu
Madenge Origino JF-Expert Member Nov 6, 2010 1,847 1,095 Feb 9, 2016 #5 Kumbe ni angalau Magufuli yeye kawawekea red carpet!