Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Graph hapo chini inaonyesha copper smelters mbali mbali katika nchi tofauti duniani zenye uwezo wa kuchenjua kuanzia 2,000 tons kwa mwaka mpaka zenye uwezo wa 100,000 tons kwa mwaka ambazo...
18 Reactions
189 Replies
16K Views
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amesema serikali ingetafuta vyanzo vingine vya mataumizi na sio kodi peke yake na pia kuona maisha ya wananchi yanakuwa bora kutokana na kukua kwa uchumi...
2 Reactions
113 Replies
9K Views
Habari za siku hii wanajamvi, nimekaa nakuona kuwa kuna dalili za sisi kuwa wapole juu ya kampuni ya MADINI ya Accacia kuhusu kile kinachoitwa MAKINIKA (Mchanga) na kabisa naona tunaanza kutia...
12 Reactions
68 Replies
6K Views
Mwaka 1955 Libya iliingia mkataba wa kuchimba mafuta na kampuni ya Kimarekani iliyokuwa inaitwa 'Libyan American Oil Company' wakati huo Libya ikiwa chini ya Mfalme Idris. Baadaye Marehemu...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
  • Redirect
Mwili wa Ngosha kusafirishwa Mwanza kesho
0 Reactions
Replies
Views
Naelewa hajataifisha. Ila ameshikilia mali au amesimamisha biashara kinyume na mkataba. Two wrongs does not make it right. Magufuli hajali sheria. Mtu anayetuma Lipumba Kutumia Walinzi wake kwenda...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI WIZARA YA NISHATI NA MADINI MHESHIMIWA JOHN JOHN MNYIKA (MB), KUHUSU UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA 2016/2017 NA MAKADIRIO YA...
6 Reactions
18 Replies
5K Views
Haya mauaji ya kielimu hayana tofauti na mauaji ya vikongwe kule Mwanza na Shinyanga yaliyomuondoa waziri yule wizara ya mambo ya ndani...!!. Tofauti ni moja tu kuwa haya ya elimu hasa huko...
4 Reactions
2 Replies
750 Views
  • Redirect
Kwa mujibu wa bunge la jamhuri ya muungano,mbunge wa ccm,leo bungeni amelidhitishia bunge kwa kusema kuwa John mnyika mbunge wa kibamba ndie aliyekuwa anaiba mchanga wa dhahabu kwenye migodi ya...
1 Reactions
Replies
Views
Ikiwa zimepita siku mbili tangu Rais John Magufuli kueleza kuwa kwa sasa nchi iko katika vita ya uchumi na kwamba ana majina ya watu waliotaka kuingilia na kuharibu uchunguzi wa Kamati Maalumu...
53 Reactions
418 Replies
37K Views
Habari za mchana wanaJF Kama kuna kitendo kinanikera kwa wabunge wangu waCCM (nasema wangu kwa sababu mimi pia ni mwanachama), ni hili la kuungana kwa vitu visivyo kuwa na maana. Wabunge wangu...
2 Reactions
8 Replies
924 Views
Nakushukuru Mola kwa kunipa pumzi yako baba, bado ninaendelea kuishi, japo sitakiwi kuishi hapa duniani(Tanzania), najua ni mpango wako kuwa hapa duniani katika nchi njema ya Tanzania, nchi tajiri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu imeshindwa kuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa sababu wakili wa Serikali anayeindesha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu wana Jamvi, Kwa mara ya kwanza IGP kuongea kwenye vyombo vya habari anatoa kauli hii yenye utata kwa Raia, Kama heading inavosomeka, nmesikia mkutano huo wa IGP na vyombo vya...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
  • Redirect
Sasa ni dhahiri kabisa kuwa jina la magufuli halikamatiki kwenye Media mbalimbali hasa hapa jamiiforums kila muda lazima ianzishwe thread kumhusu mkuu wa nchi either kwa mabaya au kwa mema, pia...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hasa wema wako utakuwa nini? umekunya wewe, harufu mbaya umeisababisha wewe, haya unajisifia umeondoa harufu, hiyo harufu si umeileta wewe? Wabunge wa CCM wanajisifu leo eti wanapambana na Wezi...
0 Reactions
Replies
Views
Lumumba elimu elimu elimu! Majuzi rais wa Marekani bwana Donald Trump kapendekeza dhima ya nchi yake kujitoa kwenye mkataba wa Roma conversation kuhusu utunzaji wa mazingira hasa naendeleo ya...
0 Reactions
10 Replies
845 Views
Rais Uhuru Kenyatta Mwezi wa nane kupitia muungano wake wa Jubilee anasimama tena kuwaomba wakenya wamchague kama rais wao kuwaongoza kwa Mara nyingine, lakini Je hali halisi ya maisha ya...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Rais Dr Magufuli anateua wasomi ili wapeleke mambo kisomi, lakini wasomi wengine wameonesha wasomi wateuliwa hawako sahihi. Ujumbe ni upi hapa?
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Back
Top Bottom