Kwani Zanzibar na Libya au Burundi wapi muhimu? Nguvu zetu tumezielekeza huko. Hata Katiba zao zinaeleza wazi kukitokea mgogoro wowote Kikwete au Tanzania itatatua....ila katiba ya Zanzibar haielezi hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.