Wapwa
Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche
Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo...
Wananchi tumemuona ndani ya hii miaka hii 5 ya utawala wake kuwa ni mtawala ambaye hawasikilizi wananchi wake wanataka nini na analoamua yeye ndiyo huwa.
Tujikumbushe maneno ambayo amewahi...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura.
Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa...
Imenishangaza sana mwaka huu mgombea wa CCM kushindwa kwenda kwenye hiyo mikoa. Sababu zilizotolewa na ccm kwanini mgombea wao hajaenda kwenye hiyo mikoa, hazina mashiko. Eti, waziri mkuu ma...
Kuna wakati najiuliza, kama CCM mmefanya vizuri mbona kiwewe sana? CCM wamepagawa sana, naona kwa kuwafungia wapinzani ndani miaka mitano, walifikiri upinzani haupo na umekufa. JPM Alifikiri njia...
Wanabodi,
Kwa niliyoyaona kwenye kampeni za siasa mwaka huu hakika kuna mambo lazima kufanya maamuzi magumu na ya hasira ili Taifa lisonge mbele na watawala watuheshimu wananchi ikiwezekana kwa...
Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mh Kanoni amepiga marufuku sherehe zote zilizopangwa kufanyika wilayani kwake tarehe 26 na Oktoba kupisha Uchaguzi Mkuu.
Mh Kanoni ametaja sherehe hizo kuwa ni...
25 Oktoba, 2020
NASAHA ZA MWENYEKITI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA – TANZANIA ZA KUSHAURI KILA MGOMBEA NA ZA KUSHAURI KILA CHAMA CHA MGOMBEA WAWE KISAIKOLOJIA NA FIKRA TULIVU ZA UTAYARI WA KUPOKEA...
Alisoma Tambaza kabla baba yake hajawa Rais wa Tz. Hii ni miaka ya 80. Baadaye alikwepa kujiunga na JKT na akatokomea Uingereza kusomea udaktari. Hata baada ya kurudi, hakujiunga na leo hii...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanoa Dr. John Pombe Joseph Magufuli leo tarehe 31.05.2016 amemteuwa Dr Alex L. Kyaruzi kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la umeme Tanzania...
Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi...
Huyu Kamanda ni miongoni mwa wapambanaji wanaofahamika jijini Dar es Salaam, ni mpigania haki asiye na shaka yoyote. Wana Rombo wakibahatika kumpata itakuwa baraka kubwa sana.
===
Mwenyekiti wa...
Kaandiki hivi kupitia mtandao wa twitter:
Barua inayosambaa ya tarehe 24/9 ya kujiondoa kwenye mbio za Urais ni ya kweli. Niliandika baada ya kutofautiana na msimamo wa Viongozi wangu wa kutaka...
Alipoitoa crdb mpaka alipoifikisha mpaka anastaafu ni rekodi safi kabisa msifanye makosa hapa alikuwa anafafanua ni jinsi gani atawasaidia kuanzisha kiwanda cha kusindika ndizi ukizingatia zao...
Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge.
Mungu...
Wakuu nawasalimu,
Naomba muelewe kitu kimoja kuwa sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT hili mliweke akilini. Kwa ufupi tu hata kama Lissu akishinda uchaguzi na CCM kuamua kukubali kushindwa na...
WAMACHINGA WOTE KURA ZA NDIO KWA MAGUFULI.
Na Thadei Ole Mushi.
Sifa kubwa na asili ya Machinga Duniani ni kutembeza bidhaa zake na kuziuza. Tafiti nyingi Duniani na haswa Africa zinaonyesha...
Tokea jana wanannchi wenye uzalendo na nchi yao ya Zanzibar wameanza kumiminika kutokea kila pembe ya nchi hio,huku wakisika wakisema Zanzibar ya ukweli na uwazi imefika na karibu Tanganyika yenye...
Kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanaenda kwa wamiliki wa shule/ vyuo binafsi kuwatisha.
Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lissu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.