Uchaguzi 2020 CUF: Tuchagueni Oktoba 28 tuwekeze kwa watu, kisha watu wawekeze kwenye vitu

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Screenshot_20201025-134411.png
TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZE KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF


KILWA KUSINI-KIVINJE


Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote!

Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania!

Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania!

Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania!

Haki ya kuwa na ajira Bora, yenye ujira bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania!

Haki ya kuwa tajiri kwa mapato halali kwa kila Mtanzania!
 
Back
Top Bottom