Membe: Baada ya ujio wa Tundu Lissu sasa tuunganishe nguvu

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,695
22,717
Mhe. Tundu Lissu niungane na mamilioni ya Watanzania kukukaribisha Nyumbani. Mapokezi makubwa na ya amani uliyoyapata leo kutoka kwa Wananchi na hasa CHADEMA ni ushahidi wa upendo kwako na salaam kwa Watawala kuwa mitano inatosha! Sasa tujipange na tuunganishe nguvu!

TUTASHINDA!
 
Asee , kumbe Membe mwenyewe ndio alianza kuomba ushirikiano na CHADEMA. leo anajidai hamna lolote alilokubaliana na CDM
 
Back
Top Bottom