Uchaguzi 2020 Kura yangu kwa John Pombe Magufuli, Tarehe 28 Oktoba

Leslie Mbena

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
207
677
KURA YANGU KWA JOHN POMBE MAGUFULI,TAREHE 28 OKTOBA.

Leo 09:30hrs 25/10/2020

Ni John Pombe Magufuli mwenye ridhaa ya Wananchi wa Tanzania, kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mingine mitano ijayo 2020-2025,kwa muda mrefu nchi yetu imeshuhudia uwepo wa viongozi wenye busara na hekima, lakini kilichokuwa kinakosekana mara nyingi kutoka kwa viongozi hao ni Uzalendo na Ujasiri,Ndugu John Pombe Magufuli anavyo vyote,Busara,hekima, Uzalendo na Ujasiri,Ndugu John Pombe Magufuli anao Ujasiri wa kusema waziwazi kile ambacho kiongozi kama Rais anakusudia kufanya kwa taifa analoliongoza kwa kumaanisha.

Ujasiri na Uzalendo wa Ndugu John Pombe Magufuli ni tumaini pekee lililosubiriwa kwa miaka mingi kuziba mwanya ama ufa mdogo ambao ungeweza kuleta madhara makubwa katika uwajibikaji kwa muda mrefu,Ndugu John Pombe Magufuli amekuja kama “Tunu” ya Ujasiri na Uzalendo iliyotumwa na Mwenyezi Mungu kuhitimisha shughuli nzito ya kuziba ufa mdogo ambao ungeweza kuleta madhara makubwa katika maongozi ya taifa letu na hakika ameweza kuziba Ufa huo kwa vigezo vya Utendaji kazi wake katika Miaka mitano aliyohudumu kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,Taifa.

Tangu mwezi Novemba mwaka 2015 serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli ilipoingia madarakani kumekuwa na mafanikio ambayo yanawapa Watanzania kujiamini na kujipiga piga kifua na kusema sisi ni Taifa kubwa baada ya kuona dhamira ya dhati ya Rais John Pombe Magufuli pale alipoanza utekelezaji wa miradi ya maendeleo kama vile ujenzi wa miundombinu barabara,meli,viwanja vya ndege,ununuzi wa ndege,umeme,kufanya operesheni ya vyeti feki, kupambana rushwa, dawa za kulevya na utoaji wa elimu bure kwa kutaja machache.

Katika kipindi cha miaka mitano, Ndugu John Pombe Magufuli ameonesha uthubutu na mabadiliko katika maeneo kadhaa ambayo duru za kisiasa zinabainisha kuwa huenda baadhi ya wapigakura wapya na wa zamani takribani milioni 28 wakavutiwa na mafanikio aliyopata Ndugu John Pombe Magufuli kwa miaka mitano,Ndugu John Pombe Magufuli amevunja mifupa migumu,John Pombe Magufuli ameonesha uwezo mkubwa wa kuchukua uamuzi mgumu ikiwemo kutekeleza mipango iliyokuwa imeshindikana takribani miaka 40. Mojawapo ni kutekeleza mipango iliyopitishwa katika serikali ya awamu ya kwanza chini ya Julius Nyerere kuhamisha makao makuu ya nchi kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma.

-Kulifufua Shirika la Ndege
Tangu mwaka 1977 nchi yetu ilikuwa na shirika la ndege linalosua sua na linalojiendesha kihasara kubwa. Mara baada ya Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Magufuli imefanikiwa kununua ndege mpya 11, Wale baadhi wanaosema ndege si kipaumbele wala muhimu kwa Watanzania inabidi watambue Leo hii makusanyo ya mapato ndani ya Shirika la ndege (ATCL) yametoka Tsh. Milioni 700 mpaka kufikia Tsh. Bilioni 4.5. Hii ndio faida ambayo Watanzania tumeipata ya kuwa na kiongozi mwenye maono na mtazamo wa mbali zaidi, Rais Magufuli,Wakulima watapanda ndege kwa kuuzwa kwa korosho zao ndani ya ndege, juice za machungwa na machenza,na pesa za mapato ya watalii watakaokuja na Ndege zetu,zitanunua dawa,zitajenga mabomba ya Maji safi,zitajenga barabara na wote tutafaidika na Ndege zetu kwa faida hizo nilizozitaja,

-Ujenzi wa Stiegler’s Gorge
Utawala wa awamu ya kwanza uliokuwa ukiongozwa na Mwalimu Nyerere ulikuja na wazo wa kujenga Stiegler’s Gorge mnamo mwaka 1981 lakini umeshindwa kufanyika mpaka awamu hii ya 5 inayoongozwa na Rais Magufuli umeamua kufufua na kuliendeleza wazo hili. Mradi wa Stiegler’s Gorge kupitia Mto Rufiji utafanikiwa kuzalisha Megawattz 2100 utakapo kamilika. Ukamilifu wa mradi huu utajenga uhakika wa umeme nchini, utashusha bei ya umeme nchini na pia utamjengea Rais Magufuli heshima kubwa isiyofutika.

-Ujenzi wa Bomba la Mafuta
Serikali ya Rais Magufuli imefanikisha vilivyo kushirikiana na nchi ya Uganda kujenga Bomba la Mafuta linalotoka nchini Uganda mpaka Tanga nchini Tanzania. Ujenzi huo wa bomba la mafuta utazalisha ajira nchini na utaongeza pato la Taifa. Hayo yote yamefanikiwa kutokana na Serikali ya Rais Magufuli kuzidi kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyinginezo katika Miaka yake mitano ya muhula wa kwanza katika awamu ya tano,

Pato la Taifa limeongezeka,thamani ya miundo mbinu yote aliyojenga Rais John Pombe Magufuli kujumlisha na Pato la Taifa ukigawanya na idadi ya Watanzania Milioni 60 jawabu lake limeingiza taifa letu la Tanzania katika Uchumi wa kati,GDP imeongezeka kwa Miaka mitano ijayo ya Rais Magufuli,tutaendelea kuimarisha miundo mbinu kwa faida ya kila mwananchi,mfano Mimi ni mlala hoi naishi Matombo, Morogoro, mke wangu mjamzito kapata tatizo la ghafla apelekwe Morogoro hosipitali ya Mkoa,na Matombo hadi Morogoro Mjini ni kilomita sabini,sasa maadamu barabara ni imara ni chapchap mpaka hospitali,kama barabara ni mbovu angefia njiani. Hivyo maendeleo ya vitu ni muhimu,pengine naweza nisiende Hospital ya Mkoa wa Morogoro kwa sababu kuna kituo cha afya kimejengwa hapa hapa Matombo, Morogoro.

Kwa Upande mwingine, Maendeleo ya vitu mfano treni ya Umeme inavyopita katika mikoa mbalimbali,inaongeza uwezo wa jamii kupambana na mazingira yao kwa ujumla wao,na kila Mmoja atafaidika ndio maana uwekezaji kwenye miundombinu/miundo msingi,ujenzi wa barabara za lami,Uimarishwaji wa bandari na kupanuliwa kwa kiwango kikubwa, viwanja vya ndege na ununuzi wa ndege,Ujenzi wa reli ya kisasa,kudhibiti wizi wa mali ya umma na hasa maliasili za taifa hili,Kwa hakika hata nidhamu imerejea kwa baadhi ya viongozi na watumishi wa umma.

Huwezi kuwa na maendeleo ya watu bila kuwa na maendeleo ya Vitu kwanaza,kwa nini mnapenda kwenda Ulaya au Marekani na mkifika uko mnashangaa mkiangalia barabara za juu,majengo mazuri,miundo mbinu mizuri ya barabara inayowawaisha watu kazini na kwenye biashara zao,It is that simple,ni Maendeleo ya vitu ndio yanaleta Maendeleo ya binadamu,Baba wa taifa,Mwalimu Julius Nyerere ndio muasisi wa Maendeleo ya vitu, Reli ya standard gauge ya miaka ya sabini Tazara,Ujenzi wa Viwanda,Ununuzi wa Ndege za ATCL,Ujenzi wa Bandari ya Dar es Salaam na miundombinu mingi yeye ndio muasisi na wengine hapo katikati waliyavurunda hayo yote lakini Rais John Pombe Magufuli anavirejesha vile vya Baba wa taifa hivyo kwa wale kutwa nzima kulalamika oh kwa nini kaanza na Maendeleo ya vitu,tafuteni chaka lingine la kulaumu ila sio kwenye Maendeleo ya vitu yanayochagiza Maendeleo ya binadamu.

Katika lectures ya "Human centred development" unaweza kuwarejea Julius Nyerere,Kwame Nkrumah ambao walibadilisha msimamo wa socio-economic systems(ujamaa policy -African sociolism,ISI policy from latin ) hizi ni transformation za economics,politics etc baada ya European kuuharibu uchumi wetu kipindi cha ukoloni na baadae kuzitambulisha sera za IMF na World Bank yaani SAPs pengine kutusaidia lakini kwa maslahi yao wazungu,Sasa basi katika wakati tuliopo sasa, Miundombinu bora ina nafasi chanya ya kuwajibu Watanzania wengi na kubariki maisha yao,Nani afanye hilo ambalo kweli Ujenzi wa miundi mbinu mipya ya reli ya Umeme,Viwanja vya Ndege,Ununuzi wa Ndege,Ujenzi wa Bwawa kubwa la Umeme la Mwalimu Nyerere,Wilayani Rufiji,ambavyo ni vitu vya gharama kwa Taifa na kwa Wananchi,Nani afanye hivyo ili kuokoa hatma ya Taifa la Tanzania,lazima awepo mtu wa kujitoa sadaka kwa ajili ya kesho ya Taifa la Tanzania nae ni John Pombe Magufuli.

Ujio wa Ndugu John Pombe Magufuli kama tunu ya Uzalendo na Ujasiri kwa Taifa la Tanzania, katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita umetengeneza mazingira yanayoonekana sasa ambapo Mradi mkubwa wa reli ya kisasa (Standard Gauge) tayari umekamilika licha ya kutoa ajira rasmi na zisizo rasmi umekuwa ni kichocheo kikubwa cha kiuchumi kwa kurahisisha usafiri kupunguza muda wa kuwa njiani wakati unasafiri badala ya masaa 18 utatumia masaa 6 kwenda umbali wa kutoka Dar hadi Mwanza na saa moja kutoka umbali wa Dar hadi Morogoro na pia kuongeza kipato kwa wananchi na taifa kwa ujumla,

Hii ni sambamba na ujenzi mpya wa viwanja vya ndege, marekebisho au ujenzi mpya wa Terminal Three katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, marekebisho makubwa ya uwanja wa ndege wa Mwanza. Mbeya, Mtwara na Rukwa ni mazao ya juhudi za makusudi zinazochukuliwa na serikali ya Rais Magufuli,ukamilishaji wa viporo vya barabara vilivyoachwa na Serikali ya awamu ya nne, lakini pia na muhimu zaidi ni ujenzi wa barabara za angani maarufu kama fly over bila kusahau magari ya mwendokasi ambayo yameleta unafuu wa usafiri katika jiji la Dar es Salaam, lakini mwisho ujenzi wa barabara za njia sita Dar – Kiluvya ni miradi inayotia hamasa na kuupamba kwa roho njema utawala wa Miaka mitano ya kwanza ya Rais John Pombe Magufuli.

-Hakuna kashfa ya Ufisadi katika awamu ya tano ya Utawala wa Ndugu John Pombe Magufuli.

Mosi, Taifa letu lilizingirwa na zimwi la wafanyakazi hewa, mishahara hewa, ofisi hewa, maamuzi hewa, mapato hewa kwa takribani miongoni minne, lakini Rais Magufuli ameweza kuliona zimwi hilo na kuliteketeza na sasa madhara ya zimwi hilo ni hadithi ya kale katika vitabu vya sasa kwani imepatikana dawa,nayo ni John Pombe Magufuli.

Pili, Rais Magufuli ameutafuna mfupa wa rushwa uliomlazimisha Mwasisi wa Taifa hili, hayati Mwalimu Julius Nyerere kuutungia Kitabu kilichojulikana kama Uongozi na Hatima ya Tanzania, kinachozungumzia kwa ukali madhara ya rushwa na uongozi wa taifa letu akionyesha kwa uchungu jinsi rushwa ilivyokuwa inautafuna uongozi na uchumi wetu.

Kwa nyakati mbalimbali, wakati wa uongozi wa Nyerere, tulishuhudia kampeni mbalimbali dhidi ya rushwa na uhujumu uchumi. Mifano ya karibuni ni ya mwaka 1984 ambapo kuna madai yasiyothibitika bado kwamba kifo ama ajali iliyoondoka na roho ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Sokoine ilikuwa ni sehemu ya gharama ya mapambano dhidi ya rushwa kwa wakati huo.

Wakati wa awamu ya pili, chini ya Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi, ilishuhudia kashfa kubwa ya mbuga ya wanyama ya Loliondo ambayo ilihusishwa na viashiria vya rushwa katika utiaji saini hati ya makubaliano ya ukodishwaji wa mbuga hiyo kwa mashekhe wa kiarabu, Jambo likageuka kaa la moto,lakini limepata dawa,nayo ni Ndugu John Pombe Magufuli.

Utawala wa awamu ya tatu, chini ya Rais Mstaafu Benjamini Mkapa, uligubikwa na tuhuma za rushwa katika utiaji saini wa mikataba ya madini ya dhahabu kati ya makampuni ya kibepari na serikali, huku wakosoaji wakiteta kuwa na harufu ya rushwa kutokana na usiri wa mikataba lakini pia wembamba wa mrahaba wa asilimia tatu ambao taifa limekuwa likiupokea kama sehemu ya mapato ya madini,tumeona Ndugu John Pombe Magufuli akilipatia dawa tatizo la rasilimali zetu Watanzania,na sasa tuna hisa ya 50 kwa 50 toka kwenye kampuni hizo za Madini na tumepokea gawio la bilioni 100.

Awamu ya nne, imeshuhudia mgogoro wa uzalishaji umeme wa dharula uliotekelezwa na Kampuni ya Richmond, kashfa hii ilizaa malumbano makali ndani ya Bunge hali iliyopelekewa kuundwa kwa Tume ya Mwakyembe ambayo katika uchunguzi wake haikuwaacha salama waliokuwa mawaziri wa Nishati na Madini Dk Ibrahim Msabaha na Nazir Karamagi, aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa wakati huo na mwisho ilimlazimu Waziri Mkuu wa wakati huo kujiuzuru tukio ambalo kwa mara ya kwanza lilitikisa mhimili wa bunge,hili nalo sasa limepata dawa,dawa yake ni Ndugu John Pombe Magufuli.

Ni nani mwingine kama sio Ndugu John Pombe Magufuli kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo? Hatutarajii kwamba kipindi cha pili cha miaka mitano ya uongozi wa Magufuli kitakuwa rahisi. Hiki ni kipindi ambapo inabidi atimize ndoto ya kuliongoza taifa hili kufikia mafanikio na watu wapate fursa ya kushuhudia ahadi hiyo ikitimizwa kabla hajakabidhi madaraka kwa mrithi wake Mwaka 2025,Jinsi atakavyokabidhi joho la madaraka ndiyo itakuwa kipimo cha mwisho cha mafanikio ya Rais John Pombe katika uongozi wake wa Miaka 10 toka 2015 hadi 2025,

Serikali imeokoa mabilioni ya fedha za wananchi kwa kulijenga bwawa la Umeme la Julius Nyerere,wilayani Rufiji, litalozalisha Megawatt 2115 ikiwa ni mara mbili ya Umeme tunaotumia sasa hivi,hata sasa Serikali ya Rais John Pombe Magufuli,imeendelea kuimarisha uzalishaji wa umeme wa gesi badala ya kutegemea mitamgo ya mafuta. Miradi ya Kinyerezi I-Extension (megawati 185) na Kinyerezi II (megawati 240+) inaelekea kukamilika,Tayari Kinyerezi II peke yake imeshaingiza megawati zaidi ya 200 kwenye gridi ya Taifa.

Nimalizie na vitambulisho vya machinga,Mwaka 2003 Profesa Hernando de Soto aliyekuwa mshauri wa serikali ya awamu ya tatu ya rais Benjamin Mkapa alipendekeza serikalini kuanzishwa mpango wa MKURABITA, ambapo aliainisha umuhimu wa kurasimisha biashara zisizo rasmi mfano Mama Lishe,saluni,wamachinga na wafanyabiashara wengine wenye mitaji ya chini milioni moja,hili limewezekanika na sasa wafanyabiashara wadogo wasio na dhamana mfano hati za nyumba au leseni ya biashara,watapata fursa ya kukopa kwenye mabenki kwa kutumia kitambulisho cha Machinga,hii ni hatua kubwa ya kumuinua mfanyabiashara wa hali ya chini, anaeanza au yule ambaye anahitaji kupanua wigo wake kibiashara,

Siku ambayo Ndugu John Pombe Magufuli alitangaza rasmi nia yake kuwania madaraka, alisema kwamba bado ana kazi nyingi mikononi mwake kama rais ambazo hazijakamilika. Kweli, ametoa mchango mkubwa katika hatua ya mwanzo ya kuzindua maendeleo ya Tanzania kama taifa la kipato cha kati,Pengo la mapato baina ya watu wa vipato mbalimbali limepungua, mlipuko wa bei za bidhaa ama umesimama au umeshuka,

Utamaduni wa kufanya kazi ili kupata kipato halali umeimarika miongoni mwa wananchi na taifa kwa ujumla na hivyo kufuta maisha yaliyojaa ujanja ujanja,Ahadi kuu ya Ndugu John Pombe Magufuli katika miaka mitano ijayo kwa watanzania wote ni kuwa yeye binafsi na Serikali yake nzima wataendeleza mageuzi ya kweli ambayo leo hii kila Mtanzania ni shuhuda wa Mageuzi makubwa aliyoyafanya Rais John Pombe Magufuli,Kura yangu nitapiga tick kwa Ndugu John Pombe Magufuli, naamini nawe pia utapiga kura kwa kutia tick kwa John Pombe Magufuli.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
Nitaanza kumpigia kura Membe(kuonesha uwepo wake) then nitabadili mawazo kabla ya kuweka kura yangu katika box, Basi nitakuwa nimekosea na kubadili mawazo kwa wakati huo.

Nitaomba karatasi nyingine ya kupigia kura, Nitampa kura yangu ya kudumu J.P.M, Hii tunaita #Miaka_Mitano_Tena
 
Tunataka Rais atakaeheshimu Katiba ya Nchi.

Magufuli anadharau na kuvunja Katiba ya Nchi waziwazi.

Tarehe 28 - Octoba kura zote ni kwa Tundu Lissu.
 
Tupige kura kuchagua UHURU, HAKI na MAENDELEO YA WATU.

ni muda wa kuchagua watumishi na sio maboss, ni muda wa kuipata katiba mpya yenye manufaa kwa watanzania,
ni muda wa kupata maendeleo bila upendeleo.

ni Lissu,niYEYE
KURA YANGU KWA JOHN POMBE MAGUFULI,TAREHE 28 OKTOBA.

Leo 09:30hrs 25/10/2020

Ni John Pombe Magufuli mwenye ridhaa ya Wananchi wa Tanzania, kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mingine mitano ijayo 2020-2025,kwa muda mrefu nchi yetu imeshuhudia uwepo wa viongozi wenye busara na hekima, lakini kilichokuwa kinakosekana mara nyingi kutoka kwa viongozi hao ni Uzalendo na Ujasiri,Ndugu John Pombe Magufuli anavyo vyote,Busara,hekima, Uzalendo na Ujasiri,Ndugu John Pombe Magufuli anao Ujasiri wa kusema waziwazi kile ambacho kiongozi kama Rais anakusudia kufanya kwa taifa analoliongoza kwa kumaanisha.

Ujasiri na Uzalendo wa Ndugu John Pombe Magufuli ni tumaini pekee lililosubiriwa kwa miaka mingi kuziba mwanya ama ufa mdogo ambao ungeweza kuleta madhara makubwa katika uwajibikaji kwa muda mrefu,Ndugu John Pombe Magufuli amekuja kama “Tunu” ya Ujasiri na Uzalendo iliyotumwa na Mwenyezi Mungu kuhitimisha shughuli nzito ya kuziba ufa mdogo ambao ungeweza kuleta madhara makubwa katika maongozi ya taifa letu na hakika ameweza kuziba Ufa huo kwa vigezo vya Utendaji kazi wake katika Miaka mitano aliyohudumu kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,Taifa.

Tangu mwezi Novemba mwaka 2015 serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli ilipoingia madarakani kumekuwa na mafanikio ambayo yanawapa Watanzania kujiamini na kujipiga piga kifua na kusema sisi ni Taifa kubwa baada ya kuona dhamira ya dhati ya Rais John Pombe Magufuli pale alipoanza utekelezaji wa miradi ya maendeleo kama vile ujenzi wa miundombinu barabara,meli,viwanja vya ndege,ununuzi wa ndege,umeme,kufanya operesheni ya vyeti feki, kupambana rushwa, dawa za kulevya na utoaji wa elimu bure kwa kutaja machache.

Katika kipindi cha miaka mitano, Ndugu John Pombe Magufuli ameonesha uthubutu na mabadiliko katika maeneo kadhaa ambayo duru za kisiasa zinabainisha kuwa huenda baadhi ya wapigakura wapya na wa zamani takribani milioni 28 wakavutiwa na mafanikio aliyopata Ndugu John Pombe Magufuli kwa miaka mitano,Ndugu John Pombe Magufuli amevunja mifupa migumu,John Pombe Magufuli ameonesha uwezo mkubwa wa kuchukua uamuzi mgumu ikiwemo kutekeleza mipango iliyokuwa imeshindikana takribani miaka 40. Mojawapo ni kutekeleza mipango iliyopitishwa katika serikali ya awamu ya kwanza chini ya Julius Nyerere kuhamisha makao makuu ya nchi kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma.

-Kulifufua Shirika la Ndege.

Tangu mwaka 1977 nchi yetu ilikuwa na shirika la ndege linalosua sua na linalojiendesha kihasara kubwa. Mara baada ya Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Magufuli imefanikiwa kununua ndege mpya 11, Wale baadhi wanaosema ndege si kipaumbele wala muhimu kwa Watanzania inabidi watambue Leo hii makusanyo ya mapato ndani ya Shirika la ndege (ATCL) yametoka Tsh. Milioni 700 mpaka kufikia Tsh. Bilioni 4.5. Hii ndio faida ambayo Watanzania tumeipata ya kuwa na kiongozi mwenye maono na mtazamo wa mbali zaidi, Rais Magufuli,Wakulima watapanda ndege kwa kuuzwa kwa korosho zao ndani ya ndege, juice za machungwa na machenza,na pesa za mapato ya watalii watakaokuja na Ndege zetu,zitanunua dawa,zitajenga mabomba ya Maji safi,zitajenga barabara na wote tutafaidika na Ndege zetu kwa faida hizo nilizozitaja,

-Ujenzi wa Stiegler’s Gorge

Utawala wa awamu ya kwanza uliokuwa ukiongozwa na Mwalimu Nyerere ulikuja na wazo wa kujenga Stiegler’s Gorge mnamo mwaka 1981 lakini umeshindwa kufanyika mpaka awamu hii ya 5 inayoongozwa na Rais Magufuli umeamua kufufua na kuliendeleza wazo hili. Mradi wa Stiegler’s Gorge kupitia Mto Rufiji utafanikiwa kuzalisha Megawattz 2100 utakapo kamilika. Ukamilifu wa mradi huu utajenga uhakika wa umeme nchini, utashusha bei ya umeme nchini na pia utamjengea Rais Magufuli heshima kubwa isiyofutika.

-Ujenzi wa Bomba la Mafuta.

lissu hana cha kupoteza kwenye hili pambano, yeye nguvu ya wafuasi kila anakokwenda ni ushindi mkubwa kwake, na imedhihirisha kuwa upinzani upo na una watu wakutosha, na ujumbe magu ameshaupata ndo maana kiburi kimeisha na sasa ni mnyenyekevu sana akiwa majukwaani.

kwa hyo regardless ya matokeo, lissu ameshafanikiwa sana katika kipindi cha miezi mitatu tu cha kufanya siasa.
Hivi na Lissu akishindwa tena kwa kishindo?? Itakuwaje!
- Atafanya kama Alivyofanya Dkt Slaa!

-Atawasaliti CHADEMA kama Lowassa!

-Au akienda ubelgiji asirudi tena
 
Kura yangu pia kwa Dr John Joseph Pombe Magufuli, sio kwa yule kichaa mwenye kiwanda cha uongo na uzushi
 
Unasema hapa kazi tu afu unatuwekea namba na CV zako tukupe kazi.

Utakuwa umelogwa ww pata Haki na Uhuru kwanza Ayo mengine yanakuja tu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wewe unalipwa na ccm kuandika utopolo wote huu na ccm haiwezi kushinda wa haki lazima waibe, embu achana na kutetea matumbo sasa ni wakati wa mabadiliko.
 
Back
Top Bottom