Uchaguzi 2020 Mhe. Tundu Lissu: Ni wakati wa hoja za majumuhisho ( final urgument)

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Nimezunguka kila Kona ya nchi hii, nimeona mengi, nimesikia mengi, nimeambiwa mengi, nimefundisha baadhi ambayo nilijaliwa kufundisha. Ndugu zangu Wana Songea, Sasa ni wakati wa final urgument yaani ni wakati wa hoja za majumuhisho.

Ndugu zangu watanzania kapigeni kura tarehe 28/10/2020, chagueni diwani ,Mbunge na mgombea urais kutoka CHADEMA.
 
Matusi na kejeli atavijumuishaje, kwa kutukana matusi ya nguoni? Ingekuwa alikuwa anaeleza sera kweli angefanya majumuisho, lakini matusi hayajumuishwi.
 
Nimezunguka kila Kona ya nchi hii, nimeona mengi, nimesikia mengi, nimeambiwa mengi, nimefundisha baadhi ambayo nilijaliwa kufundisha. Ndugu zangu Wana Songea, Sasa ni wakati wa final urgument yaani ni wakati wa hoja za majumuhisho.....

Ndugu zangu watanzania kapigeni kura tarehe 28/10/2020, chagueni diwani ,Mbunge na mgombea urais kutoka CHADEMA.
Ni yeye tupa kule mitano tena
 
Hivi kuna hoja yeyote ya maana aliyoitoa lisu kipindi chote cha kampeni zake ukiachana na namna alivyopigwa risasi na kututajia The Hague katika kila sentensi??
 
Nimezunguka kila Kona ya nchi hii, nimeona mengi, nimesikia mengi, nimeambiwa mengi, nimefundisha baadhi ambayo nilijaliwa kufundisha. Ndugu zangu Wana Songea, Sasa ni wakati wa final urgument yaani ni wakati wa hoja za majumuhisho.

Ndugu zangu watanzania kapigeni kura tarehe 28/10/2020, chagueni diwani ,Mbunge na mgombea urais kutoka CHADEMA.
Mkuu Beatrice Kamugisha , ili mtu kutoa hoja za majumuisho, ni lazima zitanguliwe na hoja za msingi, jee hoja za msingi ni zipi ili ndio tuje kwenye majumuisho?, kama hoja tuu za msingi hazipo, hayo majumuisho yatoke wapi?.
P
 
Mkuu mimi ni mwana ccm ,Kuna mambo yatupasa kuyabadili tukishinda na tutashinda hasa mtazamo juu ya wananchi na Itikadi yetu

Twende mbele turudi nyuma Tundu lissu ametuzidi kwa hoja na ameelimisha wananchi sana juu ya haki zao na mamlaka yao juu ya Taifa hili

Hoja ya biashara na sekta binafsi kuwa hoe hae wewe mwenyewe una maisha ya kuunga unga awamu hii kama mwanahabari na ulikuja kulalamika hapa,Leo unataka kujitoa ufahamu eti hoja zipi

Pili,Hoja ya bima ya afya kwa kila raia kwani ugonjwa haupigi hodi

Hoja ya maendeleo ya watu yaani mzunguko wa pesa kiujumla una madhara gani kwa jamii husika,Je mambo ya vitu kama ndege vinamgusa vipi mwananchi wa chini kabisa

Mambo ya ajira ,Uhuru wa habari

Sheria ambazo zinazuia uhuru wa kupata takwimu au habari yote hayo yameongelewa

Yafuatayo ccm lazima iyafanye

Kujenga umoja wa vyama vyote na upendo

Kurudisha uchumi mikononi mwa raia ,serikali ibaki kama msimamizi

Kukubali hoja mbadala na kuzijibu kwa ustaarabu

Kupunguza hasira ,panic na dharau ukipewa mamlaka,Ni lazima tuone wananchi ndio wametupa heshma ya uongozi

Wewe umelalamika hapa JF leo usijitoe ufahamu,Toa ushauri nini kifanyike tusipate taabu kama uchaguzi huu tena
 
Nimwombe Mungu wa yote atuwezeshe kuwa katika historia ya nchi hii kuitoa ccm madarakani tutakuwa na historia Kama ile iliyowekwa na watz 1961 inapendeza kuiona historia ya mwaka ule.
 
Mkuu mimi ni mwana ccm ,Kuna mambo yatupasa kuyabadili tukishinda na tutashinda hasa mtazamo juu ya wananchi na Itikadi yetu

Twende mbele turudi nyuma Tundu lissu ametuzidi kwa hoja na ameelimisha wananchi sana juu ya haki zao na mamlaka yao juu ya Taifa hili

Toa ushauri nini kifanyike tusipate taabu kama uchaguzi huu tena
Ushauri ni mmoja tuu, Tarehe 28 October, Chagua Magufuli, chagua CCM.
P
 
Hoja za majumuisho ziko palepale. Hoja za msingi zimetolewa, kasikia hoja upande mwingine, kafundisha mengi, kaambiwa mengi, kwahiyo haya yote yanapaswa yafanyiwe majumuisho. Zaidi ya yote tulihitaji mdahalo wa wagombea, hapo sasa hoja za majumuisho zingenoga. All in all, Lissu ni brain kubwa.

CHAGUA UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU.
CHAGUA TUNDU LISSU
 
Back
Top Bottom