Uchaguzi 2020 CHADEMA kuweni makini sana na Uchaguzi huu

hexacyanoferrate

JF-Expert Member
May 15, 2014
1,232
792
Kwa tathmini ya harakaharaka inaonesha uchaguzi mwaka huu ni mgumu sana kwa CCM. Siyo kwa sababu CCM haijafanya kitu , la , ila ni kwa sababu raia wa nchi hii wameichoka kabisa. Ndiyo maana wamejaribu kuonesha na kutangaza miradi mingi iliyofanywa na Serikali yao lakini raia hawaelewi.

Kwa sababu hiyo CCM wanajaribu kutumia njia zingine ili wapate ushindi. Ndiyo maana nawatahadharisha chadema waangalie mambo yafuatayo ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe hapa mwanza jimbo la nyamagana.

1. CCM wanazunguka shule za sekondari za boarding na kuwashawishi wanafunzi kuwapigia kura lakini pia kuwatumia kuingiza kura hewa.

2. Wasimamizi wa uchaguzi na makarani waongozaji kwenye vituo vyote vya kupigia kura ni makada wa CCM. Safari hii hata walimu wamepigwa chini wakisema kuwa hawajapewa stahiki zao kwahiyo wanahofu wataangusha.

Wote walioomba hiyo kazi walikuwa wanaulizwa maswali yafuatayo:
  • Kama ni mwanachama wa CCM
  • Kama yuko tayari kupokea maelekezo tofauti na kanuni za uchaguzi Kama kuingiza majina hewa au kuhakikisha mgombea wa CCM anashinda. Ukikataa utaambiwa asante kwa kushiriki.

Kwahiyo wanafunzi ndiyo wanaandaliwa kupelekwa kwenye vituo na kuingiza kura ambazo tayari zimeshapigwa.

Mbali na wanafunzi wafungwa na vyombo vya usalama wanaweza kutumika pia.

CHADEMA fuatilieni hayo na muwe na msimamo thabiti.
 
CCM watu wabaya Sana wanawaingiza watoto wa Shule kwenye vitendo vya hatari Sana, watoto wetu wataumizwa bure,wananchi Wana hasira Sana.

Inaniuma Sana kuwafundisha watoto Tabia za kinyama nmna hii,tunajenga taifa la wadhulumati, walaghai, wezi, wapindisha Sheria.
CCM imefanya uhalifu gani mkubwa ambao inaogopa ikitoka madarakani utajulikana?

Wazazi lalamikeni watoto wenu wasiingizwe kwenye hatari hii.
 
Umeona wanavyotuharibia taifa la kesho? Mbaya sana! Sasa hawa wanaofundishwa haya wakiwa watoto watakuja kuwa viongozi wa aina gani. Mimi ninaloona, viongozi - Maalim, Zitto na TL - wa-mobilize watu tuingie mtaani. Ili CCM watoke ni lazima baadhi yetu tufe kwa faida ya vizazi vijavyo. Hakutakuwa na mabadiliko ila kwa damu.
CCM watu wabaya Sana wanawaingiza watoto wa Shule kwenye vitendo vya hatari Sana,watoto wetu wataumizwa bure,wananchi Wana hasira Sana.
Inaniuma Sana kuwafundisha watoto Tabia za kinyama nmna hii,tunajenga taifa la wadhulumati,walaghai,wezi,wapindisha Sheria.
CCM imefanya uhalifu gani mkubwa ambao inaogopa ikitoka madarakani utajulikana?
Wazazi lalamikeni watoto wenu wasiingizwe kwenye hatari hii.
 
CCM watu wabaya Sana wanawaingiza watoto wa Shule kwenye vitendo vya hatari Sana,watoto wetu wataumizwa bure,wananchi Wana hasira Sana.
Inaniuma Sana kuwafundisha watoto Tabia za kinyama nmna hii,tunajenga taifa la wadhulumati,walaghai,wezi,wapindisha Sheria.
CCM imefanya uhalifu gani mkubwa ambao inaogopa ikitoka madarakani utajulikana?
Wazazi lalamikeni watoto wenu wasiingizwe kwenye hatari hii.
CCM ni ukoo wa panya mama baba mtoto wote ni wezi ndiyo maana Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa nyingi inapotelea kwenye kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kesi kuihujumu kuidhoofisha na mambo kibao yasiyo na tija kwa Taifa, hawataki maendeleo kabsa hata tule tunaendeleo tudogo twa SGR flyover ununuzi wa Ndege nk kuna 10% zao na ufisadi wa kutisha CCM ni ile ile haijawahi kubadilika
 
Kwa tathmini ya harakaharaka inaonesha uchaguzi mwaka huu ni mgumu sana kwa CCM. Siyo kwasababu CCM haijafanya kitu , la , ila ni kwasababu raia wa nchi hii wameichoka kabisa. Ndiyo maana wamejaribu kuonesha na kutangaza miradi mingi iliyofanywa na Serikali yao lakini raia hawaelewi...

CHADEMA fuatilieni hayo na muwe na msimamo thabiti.
Uongo
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi? Kuna usaliti kama kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kuna usaliti kama wa kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara?

Wewe ni mnufaika wa ufisadi mkubwa kwenye ununuzi Ndege ujenzi wa reli bwawa la umeme flyover ndiyo maana umejitoa fahamu zote huna unachokijua zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za polepole na mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi? Kuna usaliti kama kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kuna usaliti kama wa kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? Wewe ni mnufaika wa ufisadi mkubwa kwenye ununuzi Ndege ujenzi wa reli bwawa la umeme flyover ndiyo maana umejitoa fahamu zote huna unachokijua zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za polepole na mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
CCM watu wabaya Sana wanawaingiza watoto wa Shule kwenye vitendo vya hatari Sana,watoto wetu wataumizwa bure,wananchi Wana hasira Sana.
Inaniuma Sana kuwafundisha watoto Tabia za kinyama nmna hii,tunajenga taifa la wadhulumati,walaghai,wezi,wapindisha Sheria.
CCM imefanya uhalifu gani mkubwa ambao inaogopa ikitoka madarakani utajulikana?
Wazazi lalamikeni watoto wenu wasiingizwe kwenye hatari hii.

Mkuu umeongea POINT sana mpaka imenigusa Moyo. Mtoto huyoo huyoo akiiba mtiani anafukuzwa.
 
Watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi? Kuna usaliti kama kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kuna usaliti kama wa kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? Wewe ni mnufaika wa ufisadi mkubwa kwenye ununuzi Ndege ujenzi wa reli bwawa la umeme flyover ndiyo maana umejitoa fahamu zote huna unachokijua zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za polepole na mtukufu mwenyekiti wa CCM
Wivu tu unakusumbua, Sasa si huyo Mbeligiji amesema asipotangazwa kuwa mshindi atawaingiza watu barabarani, Sasa hamtatangazwa jiandaeni kuingizwa barabarani tuwasafishe mtaro.
 
Wivu tu unakusumbua, Sasa si huyo Mbeligiji amesema asipotangazwa kuwa mshindi atawaingiza watu barabarani, Sasa hamtatangazwa jiandaeni kuingizwa barabarani tuwasafishe mtaro.
Huko ubelgiji kama siyo wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje? Huoni kuwa wewe ndiyo umemletea umaarufu kwa mbinu zako za kishetani
 
Tutajipanga kudhibiti uingizwaji wa kura fake kwenye vituo, watoto wa shule wakikubali kutumika shauri yao.
 
Huko ubelgiji kama siyo wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje? Huoni kuwa wewe ndiyo umemletea umaarufu kwa mbinu zako za kishetani
Move ya kitoto mliyoitengeneza, upigwe risasi mguu wa kushoto harufa uathirike mguu wa kulia .
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, CCM wanatumia pesa viwanda pesa za walipa kodi kudhoofisha kuihujumu chadema hawataki kuleta maendeleo kabsa na hata wakiaanda miradi mkubwa wanajinufaisha wao kwa kupeana tenda pesa inazunguka inamrudia wenyewe, hakuna sehemu CCM walete maendeleo bila ufisadi.
 
Move ya kitoto mliyoitengeneza, upigwe risasi mguu wa kushoto harufa uathirike mguu wa kulia .
Utoto ni kufikiri hicho unachokiongea kuwa ni movie utoto ni kutengeneza propaganda za kishamba kama hii yako, utoto ni CCM kufikiri kuwa watanzania ni wajinga kama wao
 
Kwa tathmini ya harakaharaka inaonesha uchaguzi mwaka huu ni mgumu sana kwa CCM. Siyo kwa sababu CCM haijafanya kitu , la , ila ni kwa sababu raia wa nchi hii wameichoka kabisa. Ndiyo maana wamejaribu kuonesha na kutangaza miradi mingi iliyofanywa na Serikali yao lakini raia hawaelewi...
Watanzania wamejipanga vizuri dhidi ya ghiriba zote hizo na amini nakwambia, CCM hawashindi uchaguzi wa mwaka huu vyovyote vile
 
Back
Top Bottom