Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za muda huu wana jamii. Mimi ni Mwalimu Unyangala(Mwl Sekondari). Mara kadhaa najiuliza ni kwanini tunaompinga huyu mkuu wa Magogoni kutokana na mapungufu yake, tunaambiwa ni wanachadema...
30 Reactions
228 Replies
17K Views
Mgombea urais kupitia NCCR-Mageuzi, Jeremiah Maganja, ameahidi kubadilisha sheria kandamizi kwa jamii endapo atashinda uchaguzi huu na kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Alitoa ahadi...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Waziri mpya Wizara ya Utumishi Mh.Huruma Mkuchika amenena kuwa kwa sasa hawatapandisha mishahara ya watumishi wa umma mpaka uhakiki ukamilike. Mkuchika amedai kwamba kuna watumishi 40, 000...
10 Reactions
426 Replies
76K Views
Kuna habari zisizothibitishwa kwamba yule Mkurgugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji pale kanisani ni Itigi ni mtoto wa dada yake Raisi Magufuli. Ikiwa hili ni kweli basi ni wazi kwamba tukio...
17 Reactions
125 Replies
27K Views
Kwa kuwa leo ni siku maalum ya maombi kitaifa kuombea uchaguzi huu, nairejesha tena litania hii kwa ajili ya mafanikio kwa Taifa hili teule
0 Reactions
3 Replies
949 Views
There are still unbelievers that the alcohol we had been drinking earlier has begun to pump. The security of our home is strong, polluted when it comes to nothing or nothing. It should be used in...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Uchaguzi ni mahesabu na hizo hesabu ndiyo ushindi wa Chama chochote kwenye uchaguzi. Hesabu na namba hazidanganyi. Kwa mujibu wa Taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jumla ya Watanzania wote...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Awamu tano imeiua CCM mioyoni mwa wanachama nakubaki kwenye adhara. Chama Cha siasa ni Mali ya wanasiasa si Mali ya mwanasiasa. CCM Zanzibar mmekataliwa hadharani kabisa wala haifichiki. Mgombea...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa siku za karibuni tangu uanze kampeni zako Mamlaka ya Mji wa Mwanza (Mwauwasa) umekuwa na huduma mbaya kwa wateja wengi wa maji katika jiji hili. Tangu Injinia Sanga atoke kwenye Mamlaka hii...
1 Reactions
8 Replies
992 Views
Mgombea Ubunge jimbo la Kawe, Askofu Gwajima amesema hakuwahi kusema Kugombea Urais au Ubunge ni kujishusha, bali alisema Ukiacha kazi ya Mungu halafu ukaenda kugombea Ubunge ndio kujishusha...
9 Reactions
71 Replies
9K Views
Taarifa iliyotolewa na Idara ya mahusiano ya TRC unasema Rais Magufuli atazindua kwa mara ya pili Reli iliyojengwa miaka 122 iliyopita na kuzinduliwa na mtawala wa Ujerumani wakati huo. Kwa...
22 Reactions
124 Replies
8K Views
Habari wanajamvi,niende moja kwa moja kwenye mada. Bunge kupitisha sheria ya Mkurungezi wa Mashtaki ya Umma aikua bahati mbaya. Sheria hii ilitungwa ili kuweza kubaini wale wote wanao fanya makosa...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
“Kuna uvurugwaji wa kutisha wa Daftari la wapiga kura. Mamilioni ya wapiga kura hewa & maelfu ya vituo bandia. Wapiga kura wengi wapinzani wamehamishwa vituo au kuondolewa kwa makusudi. NEC itoe...
43 Reactions
242 Replies
22K Views
UCHAMBUZI WANGU KUELEKEA TAMATI YA KAMPENI KWA VYAMA VIKUU VITATU, CCM, CHADEMA NA ACT WAZALENDO Leo 20:20hrs 25/10/2020 Nimefuatilia kampeni za uchaguzi kwa wagombea wakuu Watatu,Ndugu John...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi kama raia mwema natambua zimebaki siku 3 kufanya uchaguzi ili kupata viongozi wetu ninaombea taifa langu livuke kikazwo hiki. Aidha ninatoa wito ufuatao: 1. Kama alivyokwisha ahidi Rais wetu...
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Mtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye...
14 Reactions
32 Replies
2K Views
Amesema meli iliyopokelewa leo kwa mbwembwe na wanaCCM si ya Tanzania bali ni mali ya DRC. Ameongeza kuwa ni aibu Tanzania kutokuwa na meli na kutegemea ya DRC Chanzo: Zitto kabwe on all social...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Tulipoaminishwa CCM itauwawa na wana CCM kutoka CCM kwenda upinzani ilikua sahihi kwa wakati huo kwa sababu watu walikua watiifu kwa chama na walipikwa kwenye chama nakufahamika nje ndani ya...
1 Reactions
1 Replies
983 Views
Tanzania Intelligence and Security Service ni idara iliyo kama roho ya Taifa. Ikitokea Taasisi ikapwaya basi ni dhahiri taifa halitakua salama kisiasa, kiuchumi na Kibiashara. SIASA Ikiwa TISS...
7 Reactions
40 Replies
8K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema, amejisikia vibaya Yanga Sc walivyoifunga timu ya Usalama kwenye mchezo wa hivi karibuni Amesema Jeshi la Polisi ndio wanaolinda usalama wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom