Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema, amejisikia vibaya Yanga Sc walivyoifunga timu ya Usalama kwenye mchezo wa hivi karibuni
Amesema Jeshi la Polisi ndio wanaolinda usalama wa...
Habari ya Jumapili mabibi na mabwana, niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari!
Kwanza nashukuru Mungu kwa uhai kwangu kwako pia mpaka unasoma ujumbe huu naamini upo vzr, pia niwape pole kwa...
Dodoma. Mgombea urais wa Chama cha Sauti ya Umma (Sau), Muttamwega Mgaywa amewataka Mawaziri watatu wa serikali ya Rais John Magufuli kwamba hatawaacha pindi akiingia Ikulu.
Mbali na mawaziri hao...
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro amesema majeshi yote yameungana na tayari yamesambazwa kwenye mikoa mbali mbali
ikiwemo Arusha ili kusimamia uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano ijayo...
Hii ni wiki ngumu kwa NEC na Wasimamizi wao wa uchaguzi kwa ngazi ya majimbo hasa katika suala la utoaji wa matokeo.
Kwa miaka kadhaa kuna dhana imejengeka miongoni mwa watu kwamba Rais alisikika...
Leo katika pitapita zangu (browsing) YouTube nimekutana na hii habari ya Tanzanite TV.
Jionee na jisikilizie mwenyewe...
Baada ya kuisikiliza habari hiyo, nikatafuta chanzo walichokielezea...
CCM mliambiwa lakini mkakataa! Si mnaona kinachoendelea hapa nchini kwa sasa? Je, hivi ndivyo mnavyopenda itokee kila baada ya miaka mitano?
Sasa kama uchaguzi ni uadui tutakuja kuendelea kweli...
Kwanza naomba niweke bayana kwamba mimi siyo mfuasi wa Chama chochote cha siasa.
Mnamo mwaka 1994 Mwl aliandika Kitabu alichokipa jina UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA, inasemekana...
Kuna stress kubwa sana wakati wa kufuatilia matokeo ya kura na hasa kama mgombea wako anashindwa kila sehemu. Wengine stress hizi zinawaumiza sana kiafya na hata kukatisha maisha yao depending na...
Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika...
Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera.
Aidha leo...
Kila mtu kwa mdomo wake awe tayari kusema nitatoa haki kwa kila mtanzania, haya ya kusikika amani ikiombwa itawale si jambo zuri sana, watu wegine wana tabia ya kudhulumu sana na si wana utayari...
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.
Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi...
Habari za wakati huu ndugu zangu wapenda amani,
Nawaomba viongozi wa vyama vya upinzani kutoka Tanzania kama vile Mbowe, Zitto Kabwe, Maalim Seif na wengineo ambao wana dhamira za kweli za...
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa...
Mr. President you are approaching the next election as an incumbent. People will judge you on your performance as a President. The points you scored during your presidency will either lift you or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.