Uchaguzi 2020 Watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna huyu anafanya maangamizi balaa

Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Kwanza Yeye mwenyewe amepigwa chini kwenye ugombea Urais Zanzibar..kaonekana hatoshi kamwachia maalim Seif was ACT..chama kingine kabisa...Sasa huyo ana impact gani..hata akiwa anashinda na kulala barabarani..Ni sawa na zero
 
Lissu alikosa kitu kimoja tu ili aimalize CCM na icho kitu ameshakipata. Ni Sheikh Ponda Issa Ponda.
Kuna nguvu kubwa sana nimeiona ya ushawishi ya Sheikh Ponda Issa Ponda ambayo imehitimisha kuwa Ccm haiwezi shinda mwaka huu, iwe kwa mtutu na ghiriba au kwa haki
 
Guys ccm wako serious sana tusijipe moyo kishabiki.Huku level za chinj jmaa wanapita nyumba kwa nyumba wakituita kwenye mikutano ya vitongoji .Jamaa wanawafafanulia watanzania kuhusu ishu zote ambazo upinzan wanazilalamikia.
Niko kwenye mkutano hapa jamaa angu kanifuata ni mjumbe mpaka nikaona aibu kumchomolea.
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Salum mwalimu mwenye asili ya Kasulu. Yasemekana babu yake enzi hizo alibebwa na mawarabu na kwenda visiwani. Anazungumza sana tena points za msingi. Kongole kwake
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Nimemuona huko alikopita anajenga hoja kuliko Samia na Majaliwa,
Ccm wamemsahau huyu ameleta madhara makubwa huko vijijini
 
KURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA

KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)

WAPINZANI HAMPATI KITU.

KUWENI MAKINI
Ok ccm wakijaribu huu uhuni ndo mwisho wao , wakifuata utaratibu huenda wataambulia 20% ya kura na wabunge wachache
 
Kwanza Yeye mwenyewe amepigwa chini kwenye ugombea Urais Zanzibar..kaonekana hatoshi kamwachia maalim Seif was ACT..chama kingine kabisa...Sasa huyo ana impact gani..hata akiwa anashinda na kulala barabarani..Ni sawa na zero
Wewe hustahili kuwa Jamiiforums. Salumu Mwalimu ni mgombea urais wa Zanzibar?
Nenda Facebook kule ukaandike utopolo wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom