CCM na mgombea wake kuikacha Kusini, Ruvuma na Rukwa -- kulikoni?

kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,395
512
Imenishangaza sana mwaka huu mgombea wa CCM kushindwa kwenda kwenye hiyo mikoa. Sababu zilizotolewa na ccm kwanini mgombea wao hajaenda kwenye hiyo mikoa, hazina mashiko. Eti, waziri mkuu ma makamu wake wameitembelea tayari.

Mhh! Mbona waziri mkuu alienda Kilimanjaro, na mikoa mingi tuu ambayo hata yeye kaenda tena kujinadi. Kwanini kashindwa hiyo mikoa tajwa?

Mgombea urais, unashindwa kwenda Kila mmoja wa nchi yako, halafu kesho tena kwa bahati ukashinda, ujiite rais wao!

Kwa chama kikubwa kilichokua na rasilimali nyingi, kushindwa kumpeleka mgombea wao mikoa.minne, kwa mara ya kwanza ni jambo lakushamgaza sana. Au kuna more than meet our eyes and more than hears our ears? CCM mutavuna mulichokipanda miaka mitano iliyopita.

Poleni sana kwa hili.
 
Hajaenda pia Morogoro Katavi na Rukwa na sababu zimetolewa na Mgombea na huko atapata kura nyingi sana
 
Unawekeza nguvu kwenye uhitaji, mikoa ya kusini ni ccm tu, kasoro kidogo mtwara kuna cuf iliyojifia! Nguvu kubwa imetumika kasikazini kwenge ngome ya chandimu tena kisayansi zaidi kwenye final touch. Naona kina mbowe wanajampajampa tu kwa kampeni za kishindo za Jiwe
 
Wameshajikatia tamaa, karata pekee waliyonayo ni kuiba uchaguzi na kungojea mbeleko ya vyombo vya dola.

Wasichokijua ni kwamba vyombo vyetu havijawahi kukutana na mtihani kamili wa kuchagua kumbeba dikteta au kuwa upande wa wananchi.

Kama watu wakiwa serious natabiri JWTZ watakua wa kwanza kuhamia upande wa wananchi kisha polisi watafuata.
 
Hajaenda pia Morogoro Katavi na Rukwa na sababu zimetolewa na Mgombea na huko atapata kura nyingi sana
Kura wapi? Jana nilikuwa Mpanda kule ni Chadema tu Kila mtu Hadi nyimbo za Tundu Lissu wapeleke mchakamchaka zinapigwa baa na watu wanacheza.

Muda huu nipo Sumbawanga yaani upepo ni mbaya sana kwa magufuli watu hawataki kabisa kusikia chochote kuhusu CCM

Tulikuwa na wakuu wa idara fulani wao wanapanga tu jinsi ya kuiba kura hawajuwi sisi tuliomo ndani ndio tutavuruga mipango yao yote ya wizi mwaka huu.

Mmepatikana hamtoamini kitakachowatokea mwaka huu na wajeda wameanza kujitenga nanyi watawafurahisha.
 
Garage!

Kusini bado hakuna 'Garage' ya uhakika. Garage ya uhakika ipo Dom na Dar tu.

Kuna kipindi akiwa kusini (Luangwa!) huenda kuna switch ilipata hitilafu hali ikawa tete, hivyo wasaidizi wake hawawezi kurudia kosa lile.

Wadadisi wanasema, Pumzi yake kwa sasa ni ndogo, ameanza kuchoka kimwili na kiakili, anatembea na kikosi cha 'mafundi' huwa anakarabatiwa kwanza, anapepewa, anapigwa ganzi, anachekiwa Pacemaker upya halafu booster za kufa mtu ili kusukuma siku nne za kampeni kisha anarejea tena Garage!

Hapa namzunguzia yule kiongozi wa kule North Korea!
 
USHAURI Lissu jipange CCM wamejipanga kuiba kwa mazingira yaliyopo hapa TUNDURU.ongea na mawakala wenu.wako serious kuiba
 
Garage!
Kusini bado hakuna 'Garage' ya uhakika. Garage ya uhakika ipo Dom na Dar tu.
Kuna kipindi akiwa kusini (Luangwa!) huenda kuna switch ilipata hitilafu hali ikawa tete, hivyo wasaidizi wake hawawezi kurudia kosa lile.

Wadadisi wanasema, Pumzi yake kwa sasa ni ndogo, ameanza kuchoka kimwili na kiakili, anatembea na kikosi cha 'mafundi' huwa anakarabatiwa kwanza, anapepewa, anapigwa ganzi, anachekiwa Pacemaker upya halafu booster za kufa mtu ili kusukuma siku nne za kampeni kisha anarejea tena Garage!

Hapa namzunguzia yule kiongozi wa kule North Korea!
Si alikuwa anamcheka Lowasa kajinyea?
 
Mna husda sana ila hii NCHI NI CCM NA CCM NI NCHI HII.

October 28th tutawapa kichapo cha mbwa koko.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom