Masanja kalipwa shilingi ngapi kwa usanii huo anaofanyia Watanzania?

kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,395
512
Kuna wakati najiuliza, kama CCM mmefanya vizuri mbona kiwewe sana? CCM wamepagawa sana, naona kwa kuwafungia wapinzani ndani miaka mitano, walifikiri upinzani haupo na umekufa. JPM Alifikiri njia ya 2020 itakua nyeupe bila upinzani.

Wale waliounga mkono CCM na JPM toka upinzani wapi wapi? Mpaka wanatumia kina masanja kupotosha watanzania na kuwatoa kwenye ukweli kwamba hali ya wananchi ni mbaya kweli kweli. Biashara haziendi, hela hamna, watu wanakesha siku nzima masokoni wengi wao bila bila.

Masanja hazungumzii hali za wananchi walio wengi, ufukara uliyopo, umasikini uliyopo na kuaminisha watu kuhusu kuingia uchumi wakati.

Kama mijini hali ni mbaya ya kiuchumi, vipi vijijini?

Masanja kutwa kutuonesha wananchi vimiradi hapa na pale na kupotosha wananchi na kuwatoa Watanzania kwenye mstari.

Hitimisho: Hii miradi ni ya JPM au serekali kwa ujumla, sasa imekua serekali ya Magufuli na sio serikali ya CCM. Chama chao kimewekwa pembeni, sasa kuna serekali ya Magufuli na nchi ya Magufuli.

Masanja sijui kalipwa shilingi ngapi kuwatoa kwenye mustali kwa maksudi.

Sijawahi ona Mtanzania anawafanyia hawa Watanzania wenzake sijui kapewa vipande vingapi vya pesa. Kazi kwenu Watanzania.
 
Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi

Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=

Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.

Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.

Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.

Haki huinua TAIFA

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Masanja akiwa mmoja ya wasanii na Mchungaji. Anaitumia position aliyopo kushow mema na Mazuri ya Bwana J.P. Magufuli.

Ukweli ni huu, Magufuli katika miaka mitano ameifanyia makubwa sana nchi yake. Naweza kuthibitisha hili.
 
Wasanii wenye kujijua huwa wanasimama upande wa wanaokandamizwa (Bob Marley, Bobi Wine, Luck dube, Chakachaka na wengineo). Siyo upande wa wakandamizaji. It is a pity kuwa wasanii wetu wameamua kusimama na wakandamizaji!
 
Uyo rafiki yako mnafiki na atakuponza unauhakika wanalipwa iyo pesa? Na uyo anaewafundisha iyo semina hajui kama kuna itikadi tofauti umo ndni watu mia saba+, kiufupi usiongee kitu kwa kusikia ongea unaushahidi hai, ata ukipewa taarifa ni za uongo maana huapishwa kule sidhani wanaropka ki local
 
Nimeipenda sana hii
Wasanii wenye kujijua huwa wanasimama upande wa wanaokandamizwa (Bob Marley, Bobi Wine, na wengine). Siyo upande wa wakandamizaji. It is a pity kuwa wasanii wetu wameamua kusimama na wakandamizaji!
 
Serikali hii imewekeza sana kwenye propaganda.
Karine hii, watu wameelimika sana ujiuji kama huu, wanapotezea. Mtu sababu kapata ajira ya muda, anafanya kwa njaa zake, baada ya uchaguzi, utamuona naye analamikia ugumu wa maisha mtaani. Hovyo kabisa!
 
Masanja akiwa mmoja ya wasanii na Mchungaji. Anaitumia position aliyopo kushow mema na Mazuri ya Bwana J.P. Magufuli.

Ukweli ni huu, Magufuli katika miaka mitano ameifanyia makubwa sana nchi yake. Naweza kuthibitisha hili.
Akiacha majeraha makubwa kwa idadi kubwa ya watu.
 
Yuko pia shyrose bhanji na amina mollel yaani wanajituma sana,,waje wawape kifuta jasho hata kidogo asee,,ni wazalendo kwelikweli
 
Kuna wakati najiuliza, kama CCM mmefanya vizuri mbona kiwewe sana? CCM wamepagawa sana, naona kwa kuwafungia wapinzani ndani miaka mitano, walifikiri upinzani haupo na umekufa. JPM Alifikiri njia ya 2020 itakua nyeupe bila upinzani.

Wale waliounga mkono CCM na JPM toka upinzani wapi wapi? Mpaka wanatumia kina masanja kupotosha watanzania na kuwatoa kwenye ukweli kwamba hali ya wananchi ni mbaya kweli kweli. Biashara haziendi, hela hamna, watu wanakesha siku nzima masokoni wengi wao bila bila.

Masanja hazungumzii hali za wananchi walio wengi, ufukara uliyopo, umasikini uliyopo na kuaminisha watu kuhusu kuingia uchumi wakati.

Kama mijini hali ni mbaya ya kiuchumi, vipi vijijini?
Masanja kutwa kutuonesha wananchi vimiradi hapa na pale na kupotosha wananchi na kuwatoa Watanzania kwenye mstari.

Hitimisho: Hii miradi ni ya JPM au serekali kwa ujumla, sasa imekua serekali ya Magufuli na sio serikali ya CCM. Chama chao kimewekwa pembeni, sasa kuna serekali ya Magufuli na nchi ya Magufuli.

Masanja sijui kalipwa shilingi ngapi kuwatoa kwenye mustali kwa maksudi.
Sijawahi ona Mtanzania anawafanyia hawa Watanzania wenzake sijui kapewa vipande vingapi vya pesa. Kazi kwenu Watanzania.
Wenye akili zetu hatuwezi kumsikiliza huyo masanja wao.
 
Wasanii wenye kujijua huwa wanasimama upande wa wanaokandamizwa (Bob Marley, Bobi Wine, Luck dube, Chakachaka na wengineo). Siyo upande wa wakandamizaji. It is a pity kuwa wasanii wetu wameamua kusimama na wakandamizaji!

Nay wa Mitego
 
Masanja akiwa mmoja ya wasanii na Mchungaji. Anaitumia position aliyopo kushow mema na Mazuri ya Bwana J.P. Magufuli.

Ukweli ni huu, Magufuli katika miaka mitano ameifanyia makubwa sana nchi yake. Naweza kuthibitisha hili.
Analipwa lkn afanyi bure,
 
Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi

Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=

Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.

Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.

Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.

Haki huinua TAIFA

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Usiogope ! Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Masanja akiwa mmoja ya wasanii na Mchungaji. Anaitumia position aliyopo kushow mema na Mazuri ya Bwana J.P. Magufuli.

Ukweli ni huu, Magufuli katika miaka mitano ameifanyia makubwa sana nchi yake. Naweza kuthibitisha hili.
Akifanya mazuri lazima tuonyeshwe na msanii mchungaji
Kwani sisi hatuna macho?
Wanaoendelea kuamini ni wajinga wachache.
 
Back
Top Bottom