Uchaguzi 2020 Bernard Membe akiri barua inayosambaa mitandaoni ni yake

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Kaandiki hivi kupitia mtandao wa twitter:

Barua inayosambaa ya tarehe 24/9 ya kujiondoa kwenye mbio za Urais ni ya kweli. Niliandika baada ya kutofautiana na msimamo wa Viongozi wangu wa kutaka nimuunge mkono Tundu Lissu. Hata hivyo barua hiyo ilikataliwa kwa sababu maneno " msimamo wa viongozi wangu" yanawatia hatiani.

1603686450645.png

 
Inawezekana anafanya hivyo kwa nia njema, pengine ni kukwepa vijisheria vya Tume.

Hata VIONGOZi wake wasingemuunga mkono Lissu mbona yeye hafanyi mikutano ya maana ,yenye nguvu ya kuutakabUrais kwelikweli?

Nadhani alipoona Lissu ana nguvu kumshinda hata mgombea wa CCm kaamua kujitoa kiaina.

Tusubiri muda utatupa majibu.
 
Membe hawezi kuwa 'She' mheshimu hata kama humpendi.
Vijana baadhi wa Chadema hawana adabu! Huyo ni mmoja wapo. Na kwa msingi huo, kamwe mgombea wa Chadema hawezi kupewa uongozi wa nchi! Tunataka Taifa lenye heshima, hekima, busara na nidhamu ya kazi na ya utu!
 
Back
Top Bottom