Zanzibar 2020 ACT Wazalendo waamsha Dhikri Nungwi - Haijawahi kutokea

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,944
3,820
Tokea jana wanannchi wenye uzalendo na nchi yao ya Zanzibar wameanza kumiminika kutokea kila pembe ya nchi hio,huku wakisika wakisema Zanzibar ya ukweli na uwazi imefika na karibu Tanganyika yenye upendo wa kweli.

Na rekodi ya leo kwa Zanzibar huenda ikavunjwa kesho katika viwanja vya mnazi mmoja, ACT na hit songs zao Tunataka nchi yetu na ile piga makofi zinasikika hata kwa watoto wa miaka minne wakiimba nyimbo hizo za hamasa bila ya kuwasahau wazee waliopindukia miaka 80,kwa kweli WaZanzibari wapo mbali kisiasa na wameamka.

Tibirinzi Pemba CCM imepewa talaka moja ,leo Nungwi CCM inapewa talaka ya pili kesho Inshaallah CCM inapewa talaka ya tatu katika viwanja vya Mnazi mmoja.
 
Yaani mlivyo waongo, Nov sijiui mtakuja na ngonjera gani! Za wizi wa kura tushazichoka!
 
taarifa inazungumzia chama cha ACT-Wazalendo, CHADEMA inahusika nini hapa?

una akili timamu kweli wewe?
Kwa hali ilivyo sasa mwana CCM yeyote ukimwamsha ghafla toka usingizini unamtegemea neno la kwanza kutamka litakuwa lipi sina shaka itakuwa CHADEMAAAAAA, sasa hivi hata kutamka mamaaaa hawawezi walidanganywa upinzani umekufa wamekutana na janga
 
nawapongeza upinzani kwa kuwaletea chama tawala ushindani madhubuti
 
Tokea jana wanannchi wenye uzalendo na nchi yao ya Zanzibar wameanza kumiminika kutokea kila pembe ya nchi hio,huku wakisika wakisema Zanzibar ya ukweli na uwazi imefika na karibu Tanganyika yenye upendo wa kweli.

Na rekodi ya leo kwa Zanzibar huenda ikavunjwa kesho katika viwanja vya mnazi mmoja, ACT na hit songs zao Tunataka nchi yetu na ile piga makofi zinasikika hata kwa watoto wa miaka minne wakiimba nyimbo hizo za hamasa bila ya kuwasahau wazee waliopindukia miaka 80,kwa kweli WaZanzibari wapo mbali kisiasa na wameamka.

Tibirinzi Pemba CCM imepewa talaka moja ,leo Nungwi CCM inapewa talaka ya pili kesho Inshaallah CCM inapewa talaka ya tatu katika viwanja vya Mnazi mmoja.
Ooooh..
Dk ya 89 hiii..
🤣🤣🤣🤣
 
Sasa hii meseji ya sheikh Ponda kama imewafikia " progressive muslims" wengi basi CCM iongeze sana jitihada za kuiba kura!!
 
Tokea jana wanannchi wenye uzalendo na nchi yao ya Zanzibar wameanza kumiminika kutokea kila pembe ya nchi hio,huku wakisika wakisema Zanzibar ya ukweli na uwazi imefika na karibu Tanganyika yenye upendo wa kweli.

Na rekodi ya leo kwa Zanzibar huenda ikavunjwa kesho katika viwanja vya mnazi mmoja, ACT na hit songs zao Tunataka nchi yetu na ile piga makofi zinasikika hata kwa watoto wa miaka minne wakiimba nyimbo hizo za hamasa bila ya kuwasahau wazee waliopindukia miaka 80,kwa kweli WaZanzibari wapo mbali kisiasa na wameamka.

Tibirinzi Pemba CCM imepewa talaka moja ,leo Nungwi CCM inapewa talaka ya pili kesho Inshaallah CCM inapewa talaka ya tatu katika viwanja vya Mnazi mmoja.

Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Poleni Sana wazanzibari!!!!
Kila mtu anajua tangu mwaka 1995 CCM haijawahi kushinda lakini bado eti mnategemea kura!!
Wapuuzi Sana nyie
Sisi huku Tanganyika tayari tumepata njia mbadala... Tunaongea na mabeberu ili tuwe kama Libya Ndio heshima itapatikana
Nchi yetu inaraslimali nyingi sana.. Waje wavune madini sisi watupe silaha tu ili Akina kheri maJames na mzee wa Mavi 8 tutafutane humu humu
Tumechoka kuishi kwa madaraja eti wengine wale matunda ya uhuru wengine wateswe never!!
Enough is enough
Libya ilikua nchi nzuri Sasa hivi kimbembe chake sio mchezo kuna mawaziri wa Mavi 8 Sasa wapo kwenye makambi ya wakimbizi
Mafuta na gesi yote mabeberu wanachukua wanaleta silaha
I can't wait to see Majaliwa in Refugees camp
Kilio cha wengi ni harusi
Neema kwa wachache ni dhulma
Tanzanian is more than ready to be Syria
 
Wewe beberu gani atakupa silaha unatembea unarusha kimguu
Poleni Sana wazanzibari!!!!
Kila mtu anajua tangu mwaka 1995 CCM haijawahi kushinda lakini bado eti mnategemea kura!!
Wapuuzi Sana nyie
Sisi huku Tanganyika tayari tumepata njia mbadala... Tunaongea na mabeberu ili tuwe kama Libya Ndio heshima itapatikana
Nchi yetu inaraslimali nyingi sana.. Waje wavune madini sisi watupe silaha tu ili Akina kheri maJames na mzee wa Mavi 8 tutafutane humu humu
Tumechoka kuishi kwa madaraja eti wengine wale matunda ya uhuru wengine wateswe never!!
Enough is enough
Libya ilikua nchi nzuri Sasa hivi kimbembe chake sio mchezo kuna mawaziri wa Mavi 8 Sasa wapo kwenye makambi ya wakimbizi
Mafuta na gesi yote mabeberu wanachukua wanaleta silaha
I can't wait to see Majaliwa in Refugees camp
Kilio cha wengi ni harusi
Neema kwa wachache ni dhulma
Tanzanian is more than ready to be Syria
 
taarifa inazungumzia chama cha ACT-Wazalendo, CHADEMA inahusika nini hapa?

una akili timamu kweli wewe?
Huyo jamaa hata huwa hasomi ila anacomment tu halafu ikifika mchana anaenda ofisi za Lumumba kuchukua rushwa ya elfu tano
 
Wewe beberu gani atakupa silaha unatembea unarusha kimguu
Sisi tupo kwenye mkataba tunafuraha nyayo za Iraq na Libya
Unaambiwa hapa Uganda kuna watu walikua mawaziri kule Libya kwa Sasa ni mama ntilie wengine wakuu wa mikoa Sasa ni wamachinga barabarani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom