Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na V. M [emoji736]Hakika nimejionea Mwaka 2020- Kumeendelea kuwa na Ushiriki mzuri wa Wanawake katika mchakato Mzima wa Uchaguzi; [emoji994] Nchini Tanzania kumekuwa na hamasa na muamko mkubwa...
0 Reactions
3 Replies
787 Views
Mtanzania, ungana nami kusherehekea mafanikio katika sekta ya usafiririshaji ambayo haya ni maendeleo ya vitu yanayochochea maendeleo ya watu. Serikali ya awamu ya tano inaleta meli kubwa ya...
12 Reactions
139 Replies
15K Views
Tumekua tukimsikia mara nyingi Mh Rais Magufuli akisema maendeleo hayana Chama, Ila je ni wangapi wanaojua maana ya maneno hayo? Niseme tu kwamba kuna watu wachache sana wanapotosha maneno hayo...
0 Reactions
120 Replies
7K Views
Tunapenda kuufahamisha UMMA kuwa wasimamizi wa uchaguzi katika maeneo yafuatayo wamegoma kuwaapisha mawakala wetu:- 1) Bariadi 2) Bunda 3) Sinyanga Mjini 4) Morogoro Mjini 5) Chemba 6) Alumeru...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Wasalaam. Ile kauli ya "Ukiambiwa na Mwanasiasa mvua inanyesha nje wakati uko ndani, Usiamini moja kwa moja bali toka ukathibitishe mwenyewe". Hapa naamini walitumia kauli hii kuonesha Jinsi...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mgombea urais Wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mgombea wa Chadema, Tundu Lissu. Magufuli kiuhalisia ni mcha Mungu na amekuwa akionekana kanisani kila...
9 Reactions
45 Replies
5K Views
Tukiwa tumebakiza siku moja pekee, ili tuingie kwenye uchaguzi mkuu, hapo kesho kutwa, nimejaribu kufanya tathmini na kuona ni makundi yapi yanaweza kumpa kura kwa wingi sana mgombea wa CHADEMA...
19 Reactions
63 Replies
5K Views
MGOMBEA Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anataraijia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2. Kubenea ametoa kauli hiyo leo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa JMT, kupitia CCM Dkt. John Magufuli amewaomba wananchi wa Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma kumuachia kazi ya kutatua tatizo la maji wilayani humo. Magufuli amesema kuwa wameweza...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Akiwa Wilayani Chemba-Dodoma, akielekea makao makuu ya nchi Dodoma, mgombea Urais wa CCM amesimama na kuhutubia hadhira ya wana-Chemba. Lakini katika jambo la kushangaza ambalo pengine NEC...
16 Reactions
43 Replies
4K Views
Jina lake sijalipata vizuri. Lkn bunge lililopita alikuwa mbunge viti maalumu mkoa wa Lindi kupitia Chadema. Mwezi June akafika bei na kuamua kuunga juhudi. Hivi sasa anaomba tena nafasi ya...
12 Reactions
38 Replies
4K Views
Leo ni zamu ya Wizara ya Mambo ya nje ya China na Ubalozi wa China nchini Tanzania Wamesema kuwa Marekani sio kwamba anataka uchaguzi nchi Tanzania bali anataka kuikomoa Tanzania kwa kuvunja...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Barua hii inayosambazwa Whatsapp ni feki100%. Tunavyokaribia siku ya uchaguzi, kunajitokeza taarifa nyingi za uongo zinzosambazwa katika mitandao ya kijamii. Usidanganyike ukaingia kwenye mtego wa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
KALAMU ISEMAYO MANENO YA ALLY SALEH ALBERTO WA ZANZIBAR BARUA YA WAZI Rais Magufuli una saa 72 kuokoa hali Zanzibar Assalam aleikum, Pole na kampeni ambayo najua kuwa imekuwa ngumu na ya...
27 Reactions
38 Replies
5K Views
Wana JF wenzangu kilele cha kampeni kina hitimishwa kesho na siku ya kukata maneno ni Juma 5. Kama ulipanda viazi usitarajie kuna Choroko. Hii iwafikie wabunge WOTE na madiwani pamoja na Urais...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Nipo makini kipindi hiki, nachukua notisi. Nimeanza na ndugu zangu, jamaa na wote wanaonihusu moja kwa moja. Naulizia kujua upande wao kisiasa, nitaweka vizuri kumbukumbu hizi. Baadaye nije...
38 Reactions
88 Replies
7K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka wanasiasa na wagombea wanaodai kuwepo kwa vituo na wapigakura hewa kupeleka ushahidi na endapo wakishindwa kufanya hivyo hatua stahiki zitachukuliwa...
8 Reactions
50 Replies
5K Views
Mgombea wa Urais Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa dhamira yake ya kuwatumikia Wazanzibari iko imara tofauti na wakati mwingine huku akieleza kuwa kampeni za Urais zimemuwezesha kujua...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Baada ya kipindi cha kampeini kuisha yani kesho tarehe 27/10/2020 ni vyema sasa waandishi wa habari , wataalam wa mambo ya siasa , wadau wa maendeleo ni vyema sasa kuandaa kipindi maalum cha...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Majina ya wapiga kura katika kila kituo yamebandikwa kama wiki hivi. Ukingalia hakuna serial numbers ambazo ni muhimu kujua kila kituo kina wapiga kura wangapi. Tumeambiwa ukifika unataja serial...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom