Baada ya mgombea urais wa CCM kusema kuwa hatoweza kufika baadhi ya mikoa hapa Tanzania, CCM imemutuma Ndugu Herry James ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya...
Watanzania wa kipindi cha kwanza cha Mkapa watakubaliana nami kuwa mazoea yanaharibu sana fikra za jamii. Kipindi cha kwanza cha Mkapa nchi ilikuwa imetoka katika uongozi wa ruksa...
Habari Tanzania!
Kura & Uhusika: Hii ni kwako wewe ndugu mtanzania na kwa wale wote wanaohusika na upigaji kura. Nakuomba kwa kukuwekea msisitizo ewe mpiga kura na Mtanzania tafadhali sana...
Habari za jioni hii, mimi frustration nimeapishwa kuwa wakala wa ACT Wazalendo katika Kata yangu.
Changamoto kubwa ilikuwa ni kutojipanga kwa chama cha CHADEMA na ACT Wazalendo. Kwenye Kata yangu...
Kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu, Mgombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema watasimama kwa pamoja kulinda ushindi wao
Amesema, " Sisi viongozi wa...
Wakati kampeni za uchaguzi Mkuu zikielekea ukingoni Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ali amesema chama chake kimefanya kampeni za kisasa na kistaarabu.
Dk Bashiru amesema licha ya mikutano ya chama...
Nimesoma mgombea urais wa JMT kupitia Chama cha SAU akisema akiwa Rais atamteua Dkt. Magufuli kuwa Waziri Mkuu.
Yaani huyu mgombea Urais hajui kuwa Waziri Mkuu ni lazima awe mbunge wa...
Wakati zimebaki siku mbili kupiga kura ninachukua fursa hii kuomba Watanzania wenzangu kujitokeza kwa wingi kwenda kutimiza wajibu wetu wa kitaifa. Tumesikia ajenda na ahadi za wagombea mbalimbali...
Kutoka kwa mkoloni wetu.
=======
Zanzibar is best known by holidaymakers for its sandy white beaches and winding medieval passageways.
But where once there were tourists, tanks and soldiers now...
Kwa hapa tulipofikia naona siasa za hapa Tanzania zimegubikwa sana na ushabiki pasipo kujikita kwenye hoja na sera za Wagombea.
Sioni manufaa yoyote ya kitaifa mtu kuwa mwanachama wa chama fulani...
KWA VYOMBO VYA ULINZI
Askofu Mkuu Oscar Romero wa El-Salvador ana ujumbe kwa vyombo vya ulinzi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28/10/2020. Baba Mtakatifu Papa Francis alimtangaza kuwa Mtakatifu...
JE, NI KWELI HALIMA MDEE AMETATUA MIGOGORO YA ARDHI KWENYE JIMBO LA KAWE?
Kwenye karatasi zake tano za utekelezaji wa Ilani jimbo la Kawe, kwenye ukurasa wa pili, Halima Mdee amesema ametatua...
CCM wamekuwa wakitumia kasoro ndogondogo miongoni mwa wapiga kura kama mtaji wa kisiasa.
Kwa miaka na chaguzi kadha, imekuwa ikiaminika kuwa vyama vya upinzani vinapendwa na kujaza vijana katika...
Kuna mambo inabidi ifike hatua muwe mnaongozwa na akili badala ya mapenzi ya vyama au mihemko isiyo na faida siasa sio Kama ushabiki wa mpira siasa inagusa maisha yetu.
Kuna mambo nimeona hapa...
Wakuu Habari zenu?
Kuna mwaka nilisimamia uchaguzi mkuu wa ngazi ya raisi, ubunge na udiwani mkoa fulani,nilichokiona nikaona vizuri chadema mkafanyia kazi kwenye mawakala wenu ni vitu vidogo ila...
SALAMU ZA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2020 KUTOKA KWA MSHAURI MKUU WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, MAALIM SEIF SHARIF HAMAD KWA WATANZANIA
Nami nianze kwa kumshukuru Mola wetu Mtukufu kwa kutujaalia...
Hussein Mwinyi ambaye ni Waziri wa Ulinzi anayetarajiwa kumaliza muda wake mapema leo amechaguliwa awe mgombea wa CCM huko Tanzania Visiwani,Zanzibar. Jambo la kheri na hongera kwake!
Sasa...
Kwa wanao fuatilia sera za wagombea wa Urais hasa Lissu na Magufuli? Nani anajenga hoja za mashiko kuhusu Uchumi wa hii nchi?
Kiujumla tunataka kusogea mbele, tuone watu wanasafiri toka sehemu...
SALAMU ZA MGOMBEA URAIS NA MWENYEKITI WA ACT WAZALENDO KWA WANANCHI WA ZANZIBAR KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUELEKEA TAREHE UCHAGUZI MKUU ULIOPANGWA KUFANYIKA TAREHE 27 NA 28 OKTOBA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.