Uchaguzi 2020 Uchambuzi juu ya kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020

SOPINTO

Senior Member
Oct 19, 2020
155
385
Baada ya kipindi cha kampeini kuisha yani kesho tarehe 27/10/2020 ni vyema sasa waandishi wa habari , wataalam wa mambo ya siasa , wadau wa maendeleo ni vyema sasa kuandaa kipindi maalum cha Televisheni juun ya tathimini ya kampeini toka zilipoanza , ziwe categorized kuanzia sera ya mgombea , muda aliotumia , hali halisi katika eneo la kampeini , kilomita alizotembea , jumla ya idadi ya mikutano aliyoitisha , maandalizi ya jukwaa la kampeni , uzingatiaji wa hali ya ulinzi wa mikutano kwa wagombea , imani ya wananchi juu ya wagombea, kutathimini juu ya kuzingatiaji kanuni , sheria na taratibu za kampeini.

Hata Tume ya Uchaguzi mnaweza kulibeba hili kama sehemu yenu mpango kazi kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Vyote vinaweza kufanyiwa tathmini na kukatolewa programe nzuri tu

Naamini waandishi na vyombo vya habari , wataalam wa mambo ya siasa mtalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom